Usiogope ntaongea na mods wasi kufanyie mabayaUsitake kutuponza
Ban upigwe peke yako
Tatizo siyo kumkula ila tatizo ni ata ukimkula lazima akuchomoe dadeki sijui anajiuza yule
Kwa nini sasa Mtani mbona sisi tunachangia?
Changia bana sababu najua Mama Chanja hajawahi kuomba hela ila unampa mwenyewe. [emoji12][emoji12][emoji12]
Napenda sana kuombwa hela na wadada wazuri wazuri
Mdada mzuri akiniomba hela siku yangu inakuwa ya furaha sana [emoji14]
labda xiwez juaItakua lake watu wamejaliwa na muumba
Kama huna pesa kijana acha kutongoza tafuta helaUnakuta umekutana na mdada mtanashati mkabadikishana namba za simu, wengine hata siku haijaisha mmeanza kuchati kidogo tu utasikia.
#Baby mambo, naomba nitumie vocha ya buku jelo
#Baby nitumie buku tatu na mia nane nikanywe supu usingekutana na huyo mwanaume ungekunywa nini?
#Mwingine utamskia, baby nywele zangu zinaniwasha hatari,nitumie 30K niende saluni.
Jamani tunajua hali ni ngumu lakini mnavyojirahisisha sana ndo watu wanawa konki konki halafu mnakuja kulalama baadae.
Sasa umtongoze mwanachuo ndo hatari zaidi, bill zote zinahamia kwako, usipojielewa utajikuta unalipa ada ya chuo na kumgharamia kila kitu.
Wanaume wanapenda wanawake wasiopenda kuombaomba kuna wanaume wakishanza kupata bill zisizoeleweka ndo wanapata sababu ya kuwakimbia na wengine watawavumilia ila wakishakula papuchi hamuwaoni tena.
Tunaelewa njaa ni kali ila nendeni kwa step la sivyo nyeti zenu zitaumia sana.
Hata yule aliekuahidi 60m nae ni kilaza?! Aliekuvuruga Mungu anamuona.
Na ndivyo nafanyagaUnaamua tu kuteketeza hela kwa ajili yake siku 1 basi halaf unapotea.
Nakumbuka kuna binti mmoja alikuwa yeye kila siku anaomba buku 5
Tatizo siyo kumkula ila tatizo ni ata ukimkula lazima akuchomoe dadeki sijui anajiuza yule
Mwanaume kumpa hela mdada mzuri inapendeza na kuepusha magonjwa ya moyo
Watu na bahati zao.60M mchezo.. labda kuziandika ila sio kupewa.
Ewaaaaaa. ππππ# Tokomeza #stress#...uendembinguni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asee ukuje PM basi twin[emoji8] [emoji8] umbea unaniwasha washa!...halafu nna udaku mpya[emoji23] [emoji125] [emoji125]Sio huyo [emoji2][emoji2][emoji2]
Usiniangushe kumbuka vizuri!!
Hebu mtu anipe a/c no yake nimuwekee hela kimakosa muda huu
Wewe kwa upande wako vipi? nahisi kama mashalah flan hivilabda xiwez jua
Ila wadada mna rahaaa..Hela mnapewa na kukojozwa mnakojozwa. Kwa huduma tunayowapa inabidi nyie mtulipe
Ukiwa mwanamke mrembo halafu uwe na akili kama wewe utafaidi sana hela zetuYanu ndo maana naona raha sana kuumbwa mwanamke.
Ulishakosea kutuma au bado nikupe account yangu??