Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Hahahaha, mtani mie mvivu wa kuchangia,ila ktk usomaji kdg najitahidi

Hahahaha, Mama chanja Mzigo unaingia direct kwa akaunti yake toka kwangu ,sidhani km ana tatizo ktk hili suala
Kwa nini sasa Mtani mbona sisi tunachangia?

Changia bana sababu najua Mama Chanja hajawahi kuomba hela ila unampa mwenyewe. [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Unakuta umekutana na mdada mtanashati mkabadikishana namba za simu, wengine hata siku haijaisha mmeanza kuchati kidogo tu utasikia.

#Baby mambo, naomba nitumie vocha ya buku jelo
#Baby nitumie buku tatu na mia nane nikanywe supu usingekutana na huyo mwanaume ungekunywa nini?
#Mwingine utamskia, baby nywele zangu zinaniwasha hatari,nitumie 30K niende saluni.

Jamani tunajua hali ni ngumu lakini mnavyojirahisisha sana ndo watu wanawa konki konki halafu mnakuja kulalama baadae.

Sasa umtongoze mwanachuo ndo hatari zaidi, bill zote zinahamia kwako, usipojielewa utajikuta unalipa ada ya chuo na kumgharamia kila kitu.

Wanaume wanapenda wanawake wasiopenda kuombaomba kuna wanaume wakishanza kupata bill zisizoeleweka ndo wanapata sababu ya kuwakimbia na wengine watawavumilia ila wakishakula papuchi hamuwaoni tena.

Tunaelewa njaa ni kali ila nendeni kwa step la sivyo nyeti zenu zitaumia sana.
Kama huna pesa kijana acha kutongoza tafuta hela
 
Back
Top Bottom