Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Nyinyi si haba mmejaaliwa na sifa nyingi[emoji23] [emoji23] .

Ila nyinyi mnatofautiana kuna wengine hata hela hawana shida nazo wengine wanatafta mapenzi tu.
Very true....eti na wewe hutoagi hela best ake?[emoji23] [emoji23]
 
Kwahiyo tuwe tunaomba ngapi? kwanza tunaombaga kutokana na uwezo wenu. Unataka nikuombe million 3 ya kodi utanipa?
Mara utasikia baby naomba elfu 6 nijiunge ya wiki kabisa,
 
Nimerudi shoo si wajua tena tunapunguza kazi kisha tunachungulia vioja vya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana ake kazi na dawa!
Tumia simu kama mimi inakuwa rahisi hustukiwi kwenye lap inanipa kazi sana....[emoji23] [emoji23]
 
Wanakera kuna vijidudu watu humu wanadhani wenzao wao nihali ya chinii hata maji hawawezi nunua .
Yaani ukicomment ukisema chochote wewe ni mdangaji eh hivi tanzania nani anataka kuolewa humu watu wanataka kuolewa nje eti wapate air fresh sio humu tokea uzaliwe unaishi tu humu
Hauna haja yakusema sana ili kujitambulisha
 
Back
Top Bottom