witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Umemuelewaje kwani mkuu?Hauna haja yakusema sana ili kujitambulisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuelewaje kwani mkuu?Hauna haja yakusema sana ili kujitambulisha
Ahsante sana rafiki.Una maneno ya busara sana rafiki...na umeongea vyema
Kudos!
Umeonaeee. Mie pia natumia simu mwaya.Ndo maana kazi na dawa
Tumia simu kama mimi inakuwa rahisi hustukiwi kwenye lap inanipa kazi sana....[emoji23] [emoji23]
Tunamshukuru Allah mkuu....mambo bam bam[emoji120] [emoji120]Ahsante sana rafiki.
Naona tumepoteana hii week ndio kwanza nimekuona leo.
Mambo yanaendaje?
Niko na nyinyi bega kwa bega wala msihofu kwa hilo.Amiin Insha Allah. [emoji120][emoji120]
Nnayo basi naendelea kujifunza tu hapa sababu si wajua Jf ni shule tosha.
Mademu wote JF mabosiledi.
Ahaaahaa....kuusongesha wapi, kuna mtu tulikuwa tunawekana sawa ndo maana ukawa mrefu!....[emoji23] [emoji23]Umeonaeee. Mie pia natumia simu mwaya.
Ila mmejua kuusongesha uzi maana nimetoka sijui masaa mawili narudi pages kibao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mada zipiNiko na nyinyi bega kwa bega wala msihofu kwa hilo.
Naona mada zenu zimerudi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuaminia[emoji1] [emoji1] .Tunamshukuru Allah mkuu....mambo bam bam[emoji120] [emoji120]
Ngoja na mimi niwaite watu fulani humu siwaoni@nigandeko njoo utie neno banaa. Maana naona kimya kimya. [emoji12][emoji12][emoji12]
Kumenoga humu jamani
Hzi za kuzidi kuomba watu pesa[emoji23] [emoji23] .[emoji23] [emoji23] [emoji23] mada zipi
Mkuu kwa kuwa unapenda papuchi basi hela kidogo si mbaya ukimpatia aliyekutunuku..Kanauli na kavocha vitamtoshaMi hata mia moja ya kiberiti sikupi ,tafuta pesa zako mwenyewe
Kiongozi naona umejitahidi leo umekomenyi kicheko. Huwa nakuona una like tu. Mtu hatari sana wewe.Hahahaha
Hapana mkuu....nothing bad!Nakuaminia[emoji1] [emoji1] .
Kwanza ulimfanya nin mwenzako leo sikupata mda mzuri wa kupitia huko nyuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikua nacheka tu.
Ewaaaaa. Bora kama unalijua hilo Mtani na kwa huu ujumbe yabidi ile idadi niiongeze. Mmebakia watano tu wanaume wa hivyo.Mtani ni kawaida tu ,nazitafuta kwa ajiri yake ,halafu mtani we mchokozi pia mchochezi, hahahaha
Mkuu mm nakupa kiroho safi..Wala sihitaji chochote kutoka kwako unless unitunuku tu mwenyewe ndo ntakubali
Ni kweli ila mjitume basi, sio mnakua kama magogo..Nikitoa mshiko wangu natakiwa nisiuwaze kwa huduma uliyotoa