Ukiwa mwanamke mrembo halafu uwe na akili kama wewe utafaidi sana hela zetu
KaribuuKumenoga humu jamani
Nyinyi si haba mmejaaliwa na sifa nyingi[emoji23] [emoji23] .Humu ndani kwema tu...eti si tunapenda kuomba hela sana[emoji23] [emoji23]
Hahahaha, mie wa jpili banaAnaenda kuswali yulee
Offer mpk imeisha ndio unajitokeza mwenzio aliwahi pm fasta kachukua laki tokea saa 5
[emoji3][emoji3][emoji3]Nimecheka sana aisee...Kweli?....ila mna sadaka nyingi hakuna mfano![emoji23]
Ntakuja lkn sitoi hata mia!
Humu kama kawaida yake nna wakuu wangu lazima tukutane kwa thread kma hzi.Kumenoga humu jamani
Haaahaaaa...[emoji23] [emoji23] [emoji23]NAshindwa kumuelewa,kuna mda kama KE, mda mwingine kama ME. Asije akawa transgender huyu
...........private parts suffer the most
Nimerudi shoo si wajua tena tunapunguza kazi kisha tunachungulia vioja vya jf. 😂😂😂😂😂😂Umerudi mama....karibu
Hahahaha, nasoma mdg mdg mtani
Atubariki kwa sote...Amin[emoji120] [emoji120] .Oooh. Allah azidi kukubariki.
Haya karibu. Teh teh
Very true....eti na wewe hutoagi hela best ake?[emoji23] [emoji23]Nyinyi si haba mmejaaliwa na sifa nyingi[emoji23] [emoji23] .
Ila nyinyi mnatofautiana kuna wengine hata hela hawana shida nazo wengine wanatafta mapenzi tu.
Mara utasikia baby naomba elfu 6 nijiunge ya wiki kabisa,
Ni kweli ila mjitume basi, sio mnakua kama magogo..Nikitoa mshiko wangu natakiwa nisiuwaze kwa huduma uliyotoaKumbe eeeh.. tupeni tu lakini maana mnazitafuta ili mtumie na sisi..
Ndo maana ake kazi na dawa!Nimerudi shoo si wajua tena tunapunguza kazi kisha tunachungulia vioja vya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hauna haja yakusema sana ili kujitambulishaWanakera kuna vijidudu watu humu wanadhani wenzao wao nihali ya chinii hata maji hawawezi nunua .
Yaani ukicomment ukisema chochote wewe ni mdangaji eh hivi tanzania nani anataka kuolewa humu watu wanataka kuolewa nje eti wapate air fresh sio humu tokea uzaliwe unaishi tu humu