Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mtani ni kawaida tu ,nazitafuta kwa ajiri yake ,halafu mtani we mchokozi pia mchochezi, hahahaha
Ewaaaaa. Bora kama unalijua hilo Mtani na kwa huu ujumbe yabidi ile idadi niiongeze. Mmebakia watano tu wanaume wa hivyo.

Cc. yna2 .

Hahahaaa. Jamaaani. πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ Vyote ninavyo mie hivyoo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…