Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Vinagharamiwa
Vitamu vinalipiwa au sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitamu vinalipiwa au sio
Nyie sana bana dooh[emoji15] [emoji15]Wote tunakua na uhitaji
Mkuu mm nakupa kiroho safi..Wala sihitaji chochote kutoka kwako unless unitunuku tu mwenyewe ndo ntakubali
Nyie hamnaga genye??Nyie sana bana dooh[emoji15] [emoji15]
Mnajiona sana kama mmefika hamjui watu mnawashadadia siku sio nyingi mtawafahamu nakupiga kimya mtapiga tu mkiwona anacomment mtakaa kimya tu mnadhani wote humu ni kama nyie ila siku moja mtasalimu amri iteni malaya unadanga wewe kibibi mnajificha kwenye hivyo vipicha ila ipo siku mtasalimu amri siku sio nyingi.
😂😂😂😂 naomba nicheke kwanza kisha narudi kujibu.Kwahiyo huwa unawazoom watu eeh[emoji23] [emoji23]
Mimi hata usiponitunuku hela yangu nakupa tu..Sina hiyana
Hivo tu my love,maisha yenyewe mafupi stress za nini.
Ahsante Kaka. Usijali nilijikuta tu natamani uandike kitu.Inapendeza kusikia hivyo dada
[emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa naonesha upendo dada.
Mpo vizuri kwenye kuchangia kwani mada iliyopo ni changamoto kwa sasa mtaani.
Jumah mubarak!
Rusha namba nikupe hela kidogo ya kwenda saluni..Si unajua weekend imewadiaNa ninavyopenda hela jamani.. embu anza leo basi
Haaahaaaa wewe Dada mubayaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba nicheke kwanza kisha narudi kujibu.
Sababu kuna ule uzi wa Map*g* na ule wa yule dada hadi mkapewa ban nilicheka sana yaani na sikutia neno hata moja yaani nilikuwa kama mtu chake nilipita kimya kimya ila mie hata likes sikutoa. Teh teh.
Jf Idumu jamaani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mbaaaaali[emoji23] [emoji23]Nyie hamnaga genye??
Kweli eti najua kabisa nakupendagaje unaongea simple and clear eti.Kwanini unapoteza nguvu zako kujielezea mpenzi kwa watu wasiokujua? Yani mtu akuropokee kitu hakujui humjui unamuelezea kwa comments zaidi ya 20?? JF mtu anaweza akakuambia chochote kinachokuja kwenye akili yake. Sasa ukikechi kila kitu humu unaweza jimurder bure kumbe mtu anaenjoy tu anavyokutoa povu.
Hamsemagi ila mkiguzwa mna vibrate kama hamjawahi kusuguliwa..Genye mnazo za kutosha tuKwa mbaaaaali[emoji23] [emoji23]
Mmmh[emoji13] [emoji13] [emoji12] wewe wasemaHamsemagi ila mkiguzwa mna vibrate kama hamjawahi kusuguliwa..Genye mnazo za kutosha tu
Naweza kushangaa nakuja kuchezea mipasho noma sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] . nyinyi hamuwezekani.Asee ur most welcome nikivuruga!
Mi nikikosea napenda sana kurekebishwa! Coz naamini hakuna mkamilifu chini ya jua!