Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Wallahi vile sikuchangia. Kuna muda Shunie alinitag ila nikamute kama uzi sijauona.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zile huwa naziita nyuzi chonganishi hazikawii kuchonganisha watu mwisho wa siku wewe uliyedandia ndio unaangukiwa na jumba bovu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukala kona kaliii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuuu wanaume ni PAYABLE in nature while wanawake ni RECEIVABLE in nature haijalishi ana hela au hana.. Akijisikia atafanya hivyo. So kwasisi wanaume ni shurti kupambana kujaza videbe vyetu ili mwisho wa siku tuweze kuwaservice hawa viumbe. Ukiona bado pagumu labda upambane huku ukiamini kuna zali la mentali[emoji23].
 
Back
Top Bottom