Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Kwanini unapoteza nguvu zako kujielezea mpenzi kwa watu wasiokujua? Yani mtu akuropokee kitu hakujui humjui unamuelezea kwa comments zaidi ya 20?? JF mtu anaweza akakuambia chochote kinachokuja kwenye akili yake. Sasa ukikechi kila kitu humu unaweza jimurder bure kumbe mtu anaenjoy tu anavyokutoa povu.
 
Kwahiyo huwa unawazoom watu eeh[emoji23] [emoji23]
😂😂😂😂 naomba nicheke kwanza kisha narudi kujibu.

Sababu kuna ule uzi wa Map*g* na ule wa yule dada hadi mkapewa ban nilicheka sana yaani na sikutia neno hata moja yaani nilikuwa kama mtu chake nilipita kimya kimya ila mie hata likes sikutoa. Teh teh.

Jf Idumu jamaani. 😂😂😂😂
 
Haaahaaaa wewe Dada mubayaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Usinambie ukasoma lijiuzi kama lote lile hata comment moja hukuchangia?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Haaahaaaa shikamoo Hajar
 
Kweli eti najua kabisa nakupendagaje unaongea simple and clear eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…