Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
-
- #821
Hahahaaaaaa ukisikia statement "NIKUAMBIE KITU..." jua invoice inasubiri kuwa printedBora mchwa siyo wa wanawake wa utawala wa mugu .imekuwa biashara wanaanza nikuambie kitu jiandae maumivu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeee yeye ni bora alinielewa nyinyi hamtabiriki siku hazifanani.
Haina tatizo ,utaswali Adhuhuri ,magharibi au ishaHapana Mtani sijakwenda leo nilibanwa kidogo mpaka nakuja kumaliza vishughuli muda nao ukawa ulishakwenda.
Anadharau nguvu ya karatasi nyekundu.
Namuona tu ila kwa mbaali nawaza jinsi Wachaga wanavyopenda pesa basi najikuta nafikiria kwamba kaandika kutufariji tu ila kiuhalisia sio kweli. 😂😂😂Huyu atakuwa mhasibu mambo ya accounts PAYABLE na accounts RECEIVABLE....Hahaa[emoji23] [emoji23]
Pole sana,nakuomba pm kabla hujatoka jfLeo ndio mwisho wakuwa jamii forum napenda kuwaaga wote kupitia uzii huu ngoja nijitoe humu kabisa siku moja kunamtu atatoa picha zangu kwania mbaya akisema huyu ni katoto kazuri nikadangaji nahuku mimi nimtu najiheshimu familia yetu niwatu wa maadili na wameshika dini.
Watu wakikudis sio poa tena ambao hawakujui so kwa herini this time it's for real.
I guess ni kwa wanawake wote right?Napenda kwa kweli. Tena mtu ajiongeze bila mimi kumuomba nitampenda balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wananitosha mkuuUnaongeza waume wenza...
Njaa mbaya sana...njoo nikupe hela!Na ninavyopenda hela jamani.. embu anza leo basi
Ili siku ziende eti....tufanyeje sasa[emoji23] [emoji23]Yah! Basi mwenye porojo zake za uongo na kweli anazitupiamo ilimradi tu. Teh teh.
ThanksPole sana mleta uzi.
maisha ya humu kila mtu anahela ndo mana mi kapuku huwa nakuwa offline kupunguza maumivu ya ukapuku
Kind service haiwi requested. Ukiona kila mara unaomba kuhudumiwa; chunguza CASHFLOW ya bwana/mpenzio kama ipo STABLE basi kuna walakini ila kama haipo STABLE vumilianeni na pambaneni ili mnivune.Napenda kwa kweli. Tena mtu ajiongeze bila mimi kumuomba nitampenda balaa
Anajua anazirusha tu.Sidhani hata kama anajua jinsi inavyopatikana
Niongeze na mm mkuu...Uzuri sitaondoka nayo, wewe kazi yako ni kutupangia ratiba tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] wananitosha mkuu
Tatizo hawajiongezi ndio maana wanasumbuliwa hovyo hovyo. Jinsi unavyotoa ndio jinsi unapewa mambo mazuri. Motivation muhimu!I guess ni kwa wanawake wote right?
Oooh ok.... Nimekuelewa!Utakavyokua hapa JF post zako na comments zako hata ujibadilishe vipi basi nyuma ya keyboard utakua hvyo tu.
Sababu yoyote utakayoongea yanatoka akili mwako na maisha yako pia unayajenga na akili yako pia.