Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Salama salimini jirani... Nafurahia uwepo wako.

Natumai u buheri kabisa[emoji1488]

Jamaa wanahamia huko January, so nikaona nisipitwe nami niwe in BETA mode....
Hahaaaa. Ila nimecheka huo upokeaji wa salamu yangu. 😜😜😜

Mie niko poa jirani sijui wewe?

Sina habari ujue. Wachaaaa.
 
Hahahahaha.. Yani mtu anakusaidia bila conditions wala nini anakugharamia jamani na haoneshi hata uchu wa papuchi yako he takes his time kushughulikia mambo yako jamani mkaka mwenyewe bosi bosi fulani hivi afu kwao wana hela chafuuu... mimi ndo kipindi hiko nimeanza kazi natoa toa macho tu ndokwanza Mshahara wa kwanza sikupataga 2 months nalala kwenye kigodoro cha kupewa tu tena chinii lol ... haaaaaaaa automatic nikajikuta natamani anikule tu make nilijikuta nimemzoea sana sana na he cared about me.... make mtu anakusaidia afu hakuombi hata kwakweli mungu ambariki mno mno



cc Smart911
Daaah[emoji12] [emoji12].... huyo he deserve it kwakweli!

Lkn hakukula sana alimbakishia smart wako[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Hahaaaa. Ila nimecheka huo upokeaji wa salamu yangu. [emoji12][emoji12][emoji12]

Mie niko poa jirani sijui wewe?

Sina habari ujue. Wachaaaa.
Hahahahahah cheko la kheri au la makidai[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijambo again jirani... Umemisika kwa kweli[emoji13]

Yeap sisi wanaTEHAMA tunahama na avatars[emoji3]
 
Kind service haiwi requested. Ukiona kila mara unaomba kuhudumiwa; chunguza CASHFLOW ya bwana/mpenzio kama ipo STABLE basi kuna walakini ila kama haipo STABLE vumilianeni na pambaneni ili mnivune.
Ofcourse lazima uangalie kipato cha mpenzi. Na pia na wewe umpatie kulingana na kipato chako.
Kama ni mpenzi wako wa kudumu mnaweza kuwekeana utararibu lkn ni mpango wa kando mkuu ukiombwa vumilia usilalamike. So inategemea ni aina gani ya uhusiano
 
Namuona tu ila kwa mbaali nawaza jinsi Wachaga wanavyopenda pesa basi najikuta nafikiria kwamba kaandika kutufariji tu ila kiuhalisia sio kweli. [emoji23][emoji23][emoji23]

Cc. Jirani 4G LTE
Haahaaa umeona eeh?...wachaga na pesa ni nomazz
 
Oooh ok.... Nimekuelewa!

Yah inakuwa hivo mara nyingi but nasisitiza sio wote mkuu!

Binadamu kiumbe tofauti sana!
Nakubaliana na wew kabisa.

Unajua sisi binaadam tumepewa akili kubwa zaidi ya kufkiria vitu.

Wacha nikuchunge chunge nitakuelewa vzuri siku moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ofcourse lazima uangalie kipato cha mpenzi. Na pia na wewe umpatie kulingana na kipato chako.
Kama ni mpenzi wako wa kudumu mnaweza kuwekeana utararibu lkn ni mpango wa kando mkuu ukiombwa vumilia usilalamike. So inategemea ni aina gani ya uhusiano
Maana kayapenda mwenyewe siyo[emoji3]
 
Elfu kumi ndio nini bora mtu atoe bure tu.
Dah utaila au utaitupa njiani.
Elfu kumi hata nauli haitoshi .
Sijadharau mnatudharau nanyie wadada aibu zenu hata kama unanjaa bora utoe bure .
Ule kwa mshikaji uombe hata kashopping.
Sasa si ukapike vitumbua uipate,elfu kumi haitoshi unategemea kuomba
 
Back
Top Bottom