Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Ila nimecheka huo upokeaji wa salamu yangu. 😜😜😜Salama salimini jirani... Nafurahia uwepo wako.
Natumai u buheri kabisa[emoji1488]
Jamaa wanahamia huko January, so nikaona nisipitwe nami niwe in BETA mode....
Mie niko poa jirani sijui wewe?
Sina habari ujue. Wachaaaa.