HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Mkuu hapa mjini una miliki nn.mi namiliki daladala tano,nyumba 6 ,magari mawili ya kutembelea ya kuanzia milioni 70, na bajaji nane.
Hahahaha, mkuu jitu km hilo ni kulikwepa tu kimtindosasa unakuta jitu la hovyo hovyo nalo lina-demand lipewe hela!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu hapa mjini una miliki nn.mi namiliki daladala tano,nyumba 6 ,magari mawili ya kutembelea ya kuanzia milioni 70, na bajaji nane.
Sidhani kama kuna mwanamke anakosa wa kumtoa genye.Halafu huwa mnajifanya haziwabani kumbe nyuma ya pazia mnateseka balaa..Halafu kidume akija kuomba kukupunguzia mzuka unaanza ooh bila mshiko hapati kitu. Mtakufa na genye zenu
Watu wanajitetea[emoji23] [emoji23]Haahaaa....ananichekesha huyo ujue[emoji23] [emoji23]
Zangu natafuta na nikipewa sikatai.Acha njaa wewe tafuta zako.
Kabisa.....wanafikiri hela zinaokotwa...si wakaokote zao wagawe kwanini wanaomba sasa?Hahahaha, mkuu jitu km hilo ni kulikwepa tu kimtindo
Hhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] .Ndizi, embe, parachichi?[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amor unanivunja mbavu hapa hadi walioko na mimi hapa nawahadithia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani ni kanichekesha mpaka bandama zinaniuma![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa. Wacha na mie nikusaidie kucheka Ma.
Ndio inabidi tuwe wakweli mda fulani[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi genye zikikubana sanaaaa akatokea jamaa na yeye kabanwa na anataka akupe mshiko utampa utamu?Sidhani kama kuna mwanamke anakosa wa kumtoa genye.
Usipopewa unanuna? Unapunguza mambo mazuri?!Zangu natafuta na nikipewa sikatai.
Ntapoteaj mkuu.Utapotea kabisaaaa....
Kama nimemuelewa nampaHivi genye zikikubana sanaaaa akatokea jamaa na yeye kabanwa na anataka akupe mshiko utampa utamu?
Mambo mazuri sikupi, nabanaUsipopewa unanuna? Unapunguza mambo mazuri?!
Aaaah wapi[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] ...accounts imekukolea hadi ACCOUNTS CONCEPTS zimegoma kukuacha salama[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunajaribu kuweka makaratasi in real life.... [emoji23][emoji23]
Ila mimi ni mwanaTEHAMA mkuu
Ukisoma hii michango ya watu ndio ufikiri ndio walivyo.....utapotea...im talking from 10yrs experience ya JF.Ntapoteaj mkuu.
Kwa hiyo usijifanye kidume,ela zetu tumetafuta kwa maumivu makubwa sana ,alafu ww unakuja kichwa kichwa humu,napenda ela zangu na ndo maana nazieshimu sana.Namiliki akili zangu timamu ambazo haziwezi kunituma nikuambie namiliki nini kwenye vitu ambavyo ukivijua havitakusaidia na kabla sijaulizwa nataja.
Wenye navyo hawataji mpaka waulizwe tena sio hapa.