witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Jamani jina reeefu mpaka[emoji23] [emoji23] ....sijui aliwaza nini kujiita hivooNimeona last seen yake ya mwezi wa oktoba sa sijui kama yupo tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani jina reeefu mpaka[emoji23] [emoji23] ....sijui aliwaza nini kujiita hivooNimeona last seen yake ya mwezi wa oktoba sa sijui kama yupo tena.
Duuh! Ulijua kukata shingo Mkuu.mkuu kuna watu humu ni waongo kuna mdada Anajina kubwa humu ila siwezi kumtaja tulikuwa tunasafiri kutoka dom kwenda Arusha nilibahatika kukaanae siti moja katika safari tulikuwa tumefika wilaya ya bahi akatoa simu na kuingaia jf mwanzo nilikuwa na hamu ya kumjua ikawa ngumu ila Mungu alikuwa upande wangu yule dada alikomenti kwenye posta fulani nikawa nimeiona ile post na mimi nikaingia ili nimjue nilichokikuta na muhusika nilichoka nikavunga ili asigundue
Kwahio unaniuzia?Mambo mazuri sikupi, nabana
Nimekupenda bure...Yani unajua utamu ulionao ni kwa ajili ya mwanaume so huna uchoyo wa ajabu ajabu..Kikubwa umuelewe anayekuja na ombi. Halafu nahisi utakua mtamu sana weweKama nimemuelewa nampa
Baki nayo hayo maswali yako kichwani[emoji23]Umeniambia unao wa kutosha, kwani ratiba ya UE anapanga nani?
Nipo badoHpna sikuchunguzi.
Unaenda wapi?
Hahahaha ,ushawahi kuombwa hela kwa lzm? yaani MTU analazimisha km alikukopesha, asee tuyaache tuKabisa.....wanafikiri hela zinaokotwa...si wakaokote zao wagawe kwanini wanaomba sasa?
Nimekuelewa witty.. Ila hongeraBaki nayo hayo maswali yako kichwani[emoji23]
Kwa hiyo usijifanye kidume,ela zetu tumetafuta kwa maumivu makubwa sana ,alafu ww unakuja kichwa kichwa humu,napenda ela zangu na ndo maana nazieshimu sana.
Haaahaaaa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Namiliki akili zangu timamu ambazo haziwezi kunituma nikuambie namiliki nini kwenye vitu ambavyo ukivijua havitakusaidia na kabla sijaulizwa nataja.
Wenye navyo hawataji mpaka waulizwe tena sio hapa.
Inawezekna uko sahihi na experience ulonayo.Ukisoma hii michango ya watu ndio ufikiri ndio walivyo.....utapotea...im talking from 10yrs experience ya JF.
Inategemea jinsi ulivyokuja.Kwahio unaniuzia?
Atajifanya hajui[emoji23] [emoji23]Sidhani kama kuna mwanamke anakosa wa kumtoa genye.
Si ndo hapoWatu wanajitetea[emoji23] [emoji23]
Ha haaa toka hukoNimekupenda bure...Yani unajua utamu ulionao ni kwa ajili ya mwanaume so huna uchoyo wa ajabu ajabu..Kikubwa umuelewe anayekuja na ombi. Halafu nahisi utakua mtamu sana wewe
Amen[emoji120]
Kumbe alikuwa msweet wako Smart?... [emoji15] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha acha ukachero basi...Aaaah wqpi[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] ...accounts imekukolea hadi ACCOUNTS CONCEPTS zimegoma kukuacha salama[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh..haijawahi tokeaAtajifanya hajui[emoji23] [emoji23]
DuhInategemea jinsi ulivyokuja.