Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Hahahahaha.. Yani mtu anakusaidia bila conditions wala nini anakugharamia jamani na haoneshi hata uchu wa papuchi yako he takes his time kushughulikia mambo yako jamani mkaka mwenyewe bosi bosi fulani hivi afu kwao wana hela chafuuu... mimi ndo kipindi hiko nimeanza kazi natoa toa macho tu ndokwanza Mshahara wa kwanza sikupataga 2 months nalala kwenye kigodoro cha kupewa tu tena chinii lol ... haaaaaaaa automatic nikajikuta natamani anikule tu make nilijikuta nimemzoea sana sana na he cared about me.... make mtu anakusaidia afu hakuombi hata kwakweli mungu ambariki mno mno



cc Smart911
Ivi Wanaume wa hivi bado wapo?
 
Upendo tu...mwanamke hata awe na pesa vipi bado atahitaji kidogo chako ...😀alafu wanawake hatupendi vitu vikubwa kidogo tu unaonekana bonge LA bwana..😛😀
Kuna tofauti ya zawadi na kuwa ombaomba. Hapa wasiotakiwa ni omba omba. Mara nina njaa,naomba vocha,naomba hela ya luku,naomba hela ya mafuta,naomba hela ya saluni na takataka kama hizo.
 
....
IMG-20181109-WA0006.jpeg
 
Back
Top Bottom