Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Ivi Wanaume wa hivi bado wapo?
 
Upendo tu...mwanamke hata awe na pesa vipi bado atahitaji kidogo chako ...😀alafu wanawake hatupendi vitu vikubwa kidogo tu unaonekana bonge LA bwana..😛😀
Kuna tofauti ya zawadi na kuwa ombaomba. Hapa wasiotakiwa ni omba omba. Mara nina njaa,naomba vocha,naomba hela ya luku,naomba hela ya mafuta,naomba hela ya saluni na takataka kama hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…