Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Wengi tu. Sister naomba bas jero ya soda. Au naumwa kweli nisaidie buku 2 ninunue supu huku mkononi ana sigara. Bado wanaokuja na gia za mkopo na baadae kutokomea
Kuna binadamu wanashida wewe,hasa wewe ni sistaduu simu kubwa,handbag Gucci,msela mavi anakuomba jero,huo siyo mzinga,Masela nao ni part of our community,unamwambia jero sina kakangu chukua mia mbili yaani hata mimi vyuma vimekaza braza.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3526][emoji3526]Umenikumbusha wakati niko teenager kuna jamaa walitaka twangana migumi heavy kisa ni ubishani tu tena wa kijinga baada ya jamaa mmoja kuleta story eti Fabulous (yule Mc wa USA) anaiga swag za Mr. Blue (wakati ule ni mdogo sana lakini alikuwa anahit zake kadhaa kwenye ardhi ya mzee Mkapa) i.e. mikogo ya kupindisha midomo, mavazi na kadhalika. Sasa huyu mwingine akawa anabisha tena kwa gadhabu kuwa haiwezekani Fabulous kumkopi Blue, kumbe mwemzie alikuwa anatania tu lakini yeye akawa serious almanusra watoane meno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna binadamu wanashida wewe,hasa wewe ni sistaduu simu kubwa,handbag Gucci,msela mavi anakuomba jero,huo siyo mzinga,Masela nao ni part of our community,unamwambia jero sina kakangu chukua mia mbili yaani hata mimi vyuma vimekaza braza.
Hapo alishindwa kutofautisha inaonekana yeye anakutwa sana na Masela.

Hata sisi pia masela hua tunawatoa chochote.
 
Hahahaha, mtani sio kujistukia ,ila huwa sipendi kumuudhi mtu kwa hali yoyote ile ,bora nijiudhi mwenyewe lkn si MTU mwingine [ hasa humu mitandaoni ]

Na ndio maana nakua mpole tu,nakuheshimu kila MTU na mambo yao
Duuh! Mie nilisema kwa hali ya masikhara kumbe umedhani nimechukia. Duuuh.

Kwa mara ya kwanza tumeongea lugha tofauti Mtani. Pole sana.
 
Relax JF ni ulimwengu mwingine ukiingia huku wewe si wa kule. Take it easy and don't take the contributions too personal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…