Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Wengi tu. Sister naomba bas jero ya soda. Au naumwa kweli nisaidie buku 2 ninunue supu huku mkononi ana sigara. Bado wanaokuja na gia za mkopo na baadae kutokomea
Kuna binadamu wanashida wewe,hasa wewe ni sistaduu simu kubwa,handbag Gucci,msela mavi anakuomba jero,huo siyo mzinga,Masela nao ni part of our community,unamwambia jero sina kakangu chukua mia mbili yaani hata mimi vyuma vimekaza braza.
 
Kwanini unapoteza nguvu zako kujielezea mpenzi kwa watu wasiokujua? Yani mtu akuropokee kitu hakujui humjui unamuelezea kwa comments zaidi ya 20?? JF mtu anaweza akakuambia chochote kinachokuja kwenye akili yake. Sasa ukikechi kila kitu humu unaweza jimurder bure kumbe mtu anaenjoy tu anavyokutoa povu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3526][emoji3526]Umenikumbusha wakati niko teenager kuna jamaa walitaka twangana migumi heavy kisa ni ubishani tu tena wa kijinga baada ya jamaa mmoja kuleta story eti Fabulous (yule Mc wa USA) anaiga swag za Mr. Blue (wakati ule ni mdogo sana lakini alikuwa anahit zake kadhaa kwenye ardhi ya mzee Mkapa) i.e. mikogo ya kupindisha midomo, mavazi na kadhalika. Sasa huyu mwingine akawa anabisha tena kwa gadhabu kuwa haiwezekani Fabulous kumkopi Blue, kumbe mwemzie alikuwa anatania tu lakini yeye akawa serious almanusra watoane meno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna binadamu wanashida wewe,hasa wewe ni sistaduu simu kubwa,handbag Gucci,msela mavi anakuomba jero,huo siyo mzinga,Masela nao ni part of our community,unamwambia jero sina kakangu chukua mia mbili yaani hata mimi vyuma vimekaza braza.
Hapo alishindwa kutofautisha inaonekana yeye anakutwa sana na Masela.

Hata sisi pia masela hua tunawatoa chochote.
 
Hahahaha, mtani sio kujistukia ,ila huwa sipendi kumuudhi mtu kwa hali yoyote ile ,bora nijiudhi mwenyewe lkn si MTU mwingine [ hasa humu mitandaoni ]

Na ndio maana nakua mpole tu,nakuheshimu kila MTU na mambo yao
Duuh! Mie nilisema kwa hali ya masikhara kumbe umedhani nimechukia. Duuuh.

Kwa mara ya kwanza tumeongea lugha tofauti Mtani. Pole sana.
 
Wewe unaongoza kwa kuniona mi mdangaji na hunijui unachonijulia ni hapa tu katoto kazuri basi je nikikuuliza nimekuibia mchumba nimemchuna mchumba au michepuko yako wala so kwa nini unamadai ya kuita wenzio wadangaji je wewe tukikuita jina ambalo hupendi tena kila siku siutaona humu ni pachungu.
Mf. Nikuite malaya tena unatoa kwa mkopo utapenda .
Mimi nimechoka nikiwa na stress zangu vimeo ambao hawana ramani wanijilinganisha na mimi isitoshe wananishusha hadhi na hawanijui msinizoe mimi sio wema sepetu najitambua nataka nini.
Kama nikuacha kukoment humu nitatafuta blogs nyingine huku kunawatu boring wanajiona kama nini
Na ukiwafutilia maisha yao nikuact
Relax JF ni ulimwengu mwingine ukiingia huku wewe si wa kule. Take it easy and don't take the contributions too personal.
 
Back
Top Bottom