Dada zetu acheni kuombaomba, mnajidhalilisha na jifunzeni kuficha njaa zenu

Mimi huwa napenda kutoa bila hata kuambiwa..lakini inakera sana..unakutana na mtu siku hio hio..una exchange contacts...hata hamjafahamiana anaanza kuleta bill zake...inakera sana...hata kama ningeweza kumpatia...sitampatia
 
Aaaah wapi....niko na mbebez hapa tunajiandaa kwenda beach tukanywe FREIXNET baridi huku tunaimalizia sunset beach[emoji483] [emoji483] [emoji483]
Achana na bebez wewe, njoo huku nikupe raha za dunia
 
Daaah Still kiswahili ni kigumu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…