Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Unao waongelea ni kama wale wanaokaa stand na mimi sijaongelea haoKuna binadamu wanashida wewe,hasa wewe ni sistaduu simu kubwa,handbag Gucci,msela mavi anakuomba jero,huo siyo mzinga,Masela nao ni part of our community,unamwambia jero sina kakangu chukua mia mbili yaani hata mimi vyuma vimekaza braza.