Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ngoja nisome post zote lo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kula tena maana hadi ziishe njaa tayariNgoja nisome post zote lo
Nitakula tena hakuna namnaJiandae kula tena maana hadi ziishe njaa tayari
Nafikiri...View attachment 929816
Ngoja nisome post zote lo
Jamani kuna nini siku hizi napitwaaa kwelii
Naomba nami kumjua bosslady wa jf
Unajua kuna muda hutaki tena mtu akudharau na muda ni sasa so kwa sasa mimi nahitaji respect because ndio muda wenyewe hata mimi huu ndio muda wakuheshimu wengine.Jamani kuna nini siku hizi napitwaaa kwelii
Naomba nami kumjua bosslady wa jf
Nikuambie kitu katoto,,ukiishi kwa kuumia humu jf utaumia sana,watu humu wanaandika wanachotaka wanasema wanachojisikia ,mimi humu mtu aseme mpaka abinuke kwanza najua kabisa hakuna msafi humu wengi wanaigiza ,wengi tabia mbaya tuUnajua kuna muda hutaki tena mtu akudharau na muda ni sasa so kwa sasa mimi nahitaji respect because ndio muda wenyewe hata mimi huu ndio muda wakuheshimu wengine.
Ila mtu akizidi tunarukiana tu ikibidi.
Kweli maisha ni kuwa muwazi .
Kuishi kwa mawazo ni mbaya.
Utakufa kwa kizungu unaambia let it out yaani toa yote yaliyokuwa moyoni tena yanayokukera.
Nandio nimetoa ya moyoni nisije nikafa.
Uwe na wakati mwema
Kumbe ni wewe hongera sisi hata mia hatuna maskin wa kunukaina maana hunijui au madharau?
Kumbe ni wewe hongera sisi hata mia hatuna maskin wa kunuka
Basi nilitaka nikupige mziga kumbe hovyo kama mimi usinisumbueAsante mwayaaa.. ila ubosslady wa maneno tu
Poa ila bossy lady wa humu ninani mbona simjuiNikuambie kitu katoto,,ukiishi kwa kuumia humu jf utaumia sana,watu humu wanaandika wanachotaka wanasema wanachojisikia ,mimi humu mtu aseme mpaka abinuke kwanza najua kabisa hakuna msafi humu wengi wanaigiza ,wengi tabia mbaya tu
Ndio nawauliza nyie nawe waniuliza mimiPoa ila bossy lady wa humu ninani mbona simjui
katoto kazuri nafurahi bado ni muumini wa JF..Watu wakikukera usikimbie mydearUnajua kuna muda hutaki tena mtu akudharau na muda ni sasa so kwa sasa mimi nahitaji respect because ndio muda wenyewe hata mimi huu ndio muda wakuheshimu wengine.
Ila mtu akizidi tunarukiana tu ikibidi.
Kweli maisha ni kuwa muwazi .
Kuishi kwa mawazo ni mbaya.
Utakufa kwa kizungu unaambia let it out yaani toa yote yaliyokuwa moyoni tena yanayokukera.
Nandio nimetoa ya moyoni nisije nikafa.
Uwe na wakati mwema
Mimi simjuiNdio nawauliza nyie nawe waniuliza mimi