Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
somo linahitaji thread yake nzima lkn hiyo rangi inawafaa watu wenye rangi nyeupe na huo mchirizi mweusi wa wanja huko mdomoni ndo umezidi kuchafua kabisa!
halafu hii nimeiona sana, cjui kwanini mdada upake lipstick upitishe na wanja pembebi, yaani unaonekana mchafu kabisa, na hizo ragi rangi juu ya macho tena...jamani Gaijin wewe huyu dada alikuwa anatangaza biznec kweli?
kweli kila jambo lina maana yake,,sikuyajua hayo!heheh huo mstari mweusi umenikumbusha nilienda mazikoni kukawa kunatolewa mawaidha (na mwanamke mtu mzima)......basi akasema watu wanapaka lipstik na mistari ya kukozesha hawajui hata maana.....ati ukikozesha juu na chini maana yake mjane ...ukikozesha chini tu maana yake unatafuta mume! tulicheka japo mazikoni ::eyeroll2:
kweli nyamayao ..............anatangaza biashara ya hayo makorokoro nilokutajia :confused2:
heheh huo mstari mweusi umenikumbusha nilienda mazikoni kukawa kunatolewa mawaidha (na mwanamke mtu mzima)......basi akasema watu wanapaka lipstik na mistari ya kukozesha hawajui hata maana.....ati ukikozesha juu na chini maana yake mjane ...ukikozesha chini tu maana yake unatafuta mume! tulicheka japo mazikoni ::eyeroll2:
kweli nyamayao ..............anatangaza biashara ya hayo makorokoro nilokutajia :confused2:
Gaijin ucnivunje mbavu jamani....
![]()
hivi dada zangu msipojipaka hiyo "milupostick" huko midomoni mnadhani hatutawapenda...?
heheh huo mstari mweusi umenikumbusha nilienda mazikoni kukawa kunatolewa mawaidha (na mwanamke mtu mzima)......basi akasema watu wanapaka lipstik na mistari ya kukozesha hawajui hata maana.....ati ukikozesha juu na chini maana yake mjane ...ukikozesha chini tu maana yake unatafuta mume! tulicheka japo mazikoni ::eyeroll2:
kweli nyamayao ..............anatangaza biashara ya hayo makorokoro nilokutajia :confused2:
kumbe watu wanasend signal sio .........................!
Next time FAZA-XMASS utuwekee picha zebye hadhi ya kutundika bathroom zetu. hizi puppets zinachafua jukwaa walah.![]()
hivi dada zangu msipojipaka hiyo "milupostick" huko midomoni mnadhani hatutawapenda............?
why painting urself like a clown...............?why..............?
au mpake zile lipshine za kungarisha tu lkn sio kujijaza mitakataka usoni utazani clown...............!
nawaoneaa huruma yaani unakuta demu kajipaka mirangi mingiiii utadhani mwenzie kamwambia "paka nyingi ukija unipunguzie"...............!
halafu unakuta kajipaka kama hivi halafu anakutizama kwa nyodo na mapozi huku anakukunjia mdomo kwa dharau aaah utachoka mwenyewe!
pakeni kwa kiasi...............!sawa eeeh..........!
mie huko usoni tu, khaaa hata kama kutangaza biznec sio huko, lipstick gani hiyo, mbona mbaya hivyo, huo wanja khaa, ki ujumla kachukiza sana.
Jamani akina dada hivi lazima nywele za bandia? (general question to all them dadas out there)
Tanzania bila uzungu inawezekana ? Wsomi wa magharibi kama kina Samuel P. Huntington na Lawrence E. Harrison wanatuambia kwamba maendeleo si lazima yaambatane na umagharibi, lakini Tanzani hatuoni hilo.