Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Dada zetu mseme ukweli hivi huwa unajiskiaje mwenzako anaolewa afu wewe huolewi?? Ulishawai kaa chini ukajiuliza why siolewi??

Unajiskiaje unaletewa card ya mwaliko afu ww miaka nenda rud unagegedwa tu huolewi

Unajiskiaje unahudhuria kwenye harusi za wenzako afu wew upo tu??? Huolewi

Au bado unaamini wakati wako wa kuolewa hujafika?? Ukiona una age 30+ na hujaolewa bhs jua kuna sehem unakosea na age hio possibility ya kuolewa ni ndogo sana.

JIMAPILI NJEMA.

1624447890493.png

Pia soma:Kwani lazima kuoana?
 
Kuna wanawake 3 tofauti niliongea nao na maongezi
1. Nyie wanaume mna raha sana maana mkiamua kuoa, mnajipanga tu hata miaka miwili mnatafuta mke mnaanza maisha.
Ila sisi wanawake unafika wakati unataka mume ila kila anayekuja anagonga na anasepa.

2. Kuna mwingine nilipita namweleza twende kwenye mahubiri; akanambia kama niko tayari kumuoa ataambatana nami.

3. Huyu aliniambia yuko tayari kubadili dini kwa kijana yeyote atakayekuwa tayari kumuoa. Hataki abadili dini then aendelee kuishi kwao. Bali anataka awe na mume naye.

Kwa nyakati tofauti na usiniulize age zao.
Mioyo yao imebeba huzuni na furaha zao ni kupata wenza wa maisha.
 
Kwa wanawake hii ni changamoto sana ila kwa sisi wanaume ni suala la maamuzi tuu.

Wanawake nao wana choises zao. Lakini sasa kumpata mtu anaempenda yeye ndio issue. Wanawake inabidi wawapende wenzi wao sababu nao wanawapenda wao
 
Kuna wanawake 3 tofauti niliongea nao na maongezi
1. Nyie wanaume mna raha sana maana mkiamua kuoa, mnajipanga tu hata miaka miwili mnatafuta mke mnaanza maisha.
Ila sisi wanawake unafika wakati unataka mume ila kila anayekuja anagonga na anasepa.

2. Kuna mwingine nilipita namweleza twende kwenye mahubiri; akanambia kama niko tayari kumuoa ataambatana nami.

3. Huyu aliniambia yuko tayari kubadili dini kwa kijana yeyote atakayekuwa tayari kumuoa. Hataki abadili dini then aendelee kuishi kwao. Bali anataka awe na mume naye.

Kwa nyakati tofauti na usiniulize age zao.
Mioyo yao imebeba huzuni na furaha zao ni kupata wenza wa maisha.

Hatar sana
 
Back
Top Bottom