Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

aisee msiwasakame wadada sio vizuri sio kwamba wanataka tuachane na hao wanaodanga hawajielewi il abado hawa wakawaida ni wengi kuna hali ya desperate ipo kiswahili chake sijui....so wanahitaji tatizo lingine mwanaume mpaka aoe anakuwa nao akama 6 anachuja taraibu so wengine wanakuwa kundi hilo wanajikuta mmoja anapata bahati ..na sio kwamba hawafai ila basi uchaguzi mgumu mtu anaamu aaoe tu au akion amdada analeta complications anaoa kwingine...angalizo kuoa hkuhusiani n akubanjuana maana watu wanabanjuana tu daily ...ila mwanaume akiamu kuo ahata leo anaoa hata kama akisem ahana hela anataka aoe il a kwa mada ni ngumu maan aye anafuatwa ndio aolewe ...

embuy angali ana idadi ya wanaume sa hivi kuna hatari hata hawa viumbe wa kiume ika wa kike wamekuwa wengi so wanaongfeza idadi ya wadada kuwa idel..kingine vita za kifamili aau ukabila unaondekezwa n audini so utakuta mtu alikuwa n abahati ya kuolewa ila inashindikana anabaki hivo hivo so kila mtu na chance zake pia
 
Umekosea mkuu,Omba Sana watoto wako wa kike kama utabatika wapate ndoa wasije angukia kwenye kundi ulisemalo la mbwisi au takataka.
huyu anadhani amevuka mto hajatafakari kwa makini maneno yake..maisha ni mduara amesahau kwa kuwa ye mwanaume ila hajui upande wa pili piqa wanakutana na changamoto gani...ndio ilefamilia mama na nbaba wanakandia mainti wa wenzio mara hawajasoma mara hawana akili mara hawajatulia hawatolewa mara malaya tena ooh nyie mtaolewa tena na wanaume wana hadhi na kazi zao ...af mwisho wa picha wale wanaokandiwa wanakuwa na maisha na familia zao hawa wengine wanakuwa wanatanga tanga
 

Na sikuhz wanaume tunaangalia mwanamke anaeleweka
 

Explanation zako haziko consistent
 
Sio kila mwanamke yupo kwajiri ya kuolewa.
 
Jf raha sana kuna mind readers pia, yaani anachowaza yeye anachukulia ndio uhalisia wa kila mmoja.
 
Nikuambie tu hakuna mwanamke ambae hajawahi kubahatika kupata mtu mwenye nia ya kumuoa...tatizo lipo kwenu wanawake mnachagua sana,mnataka kila kitu mkukute,tatizo linaanzia hapo...
Ooooh!! Kumbe ile comment ilikuwa ni maumivu!!
Tafuta tu nawe utapata, hata wao hawakuzaliwa nazo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbeeeeeeee!!

Hawachi hopefull ushaelewa, achana na hawa twende tukafanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…