Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Kwahiyo hata kama mtu humpendi umkubalie kwa sababu ametangaza ndoa?? Hiyo ndoa imekua Oxygen kwamba ukiikosa utakufa?
 
Kwani hao wengine wanaooa wameoa mabikra? Kama kigezo ni nisigongwe mi sio bikra kwahiyo kugonjwa kupo mpaka atakapotokea huyo Mr. right. Halafu mi hata mtu akisema chochote ambacho mi hakinisumbui ni sawa tu kwa kweli ila siwezi acha kwa maneno ya mtu. Huwezi jua anaegonga nae anaweza akanogewa na kugonga akawa mume sasa kwanini nijime utamu.

Kauli mbiu yangu ni "Enjoy the journey while waiting".
 
Sawa malkia endelea kugongwa tu haina nongwa,nilikuwa nakushauri tu sio lazima uache kugongwa but uwe unaangalia na umri usije kuishia kuwa mwanamke wa kumpelekea mamaako wajukuu wa baba tofauti tofauti.
 
Ngoja nikae nitulie kwanza hapa, niitafakari hii comment, yaweza kuwa nzuri kwangu.
 
Sawa malkia endelea kugongwa tu haina nongwa,nilikuwa nakushauri tu sio lazima uache kugongwa but uwe unaangalia na umri usije kuishia kuwa mwanamke wa kumpelekea mamaako wajukuu wa baba tofauti tofauti.
Umri gani natakiwa niwe nimeolewa mkuu?
Maana umeandika kama vile kuna mwanaume niko mapenzini nae ila sitaki anioe kwa sababu nataka kuendelea kugongana na watu wengine.
Nijibu umri ambao sitakiwi kuvuka bila ndoa ili nianze kukubali maombi ya watu hata nisiowapenda nipate ndoa nikawasumbue baada ya ndoa
 
Marriage is just a piece of fucking paper.
(excuse my manner [emoji57])

Kuna tofauti kati ya kuishi na mtu na kuoana,
kama unazungumzia wale ambao wanaishi peke yao bila wapenzi hiyo ni another case,

Find Money and you will get your happiness.
Find money and you will get your happiness. Haps umedhihirisha kwamba si tu hauna hela bali hata furaha tu hauna...
 
Ukishavuka miaka 30 anza kutafuta hata babu wa kujishikiza huku unaendelea kudanga kimya kimya
 
Naona wivu sana ila siharibu harusi ya mabest zangu.
Ila roho inauma
Hivi unakua unacheka vipi au unafurahia vipi wakati unaona wivu hua nachekaga sana nikiangaliaga status za wadada kwenye sherehe za wenzao ambazo wao wwnyewe hawajaolewa wanajichekeshaga sana lakini daah ndo vile tena
 
Ukishavuka miaka 30 anza kutafuta hata babu wa kujishikiza huku unaendelea kudanga kimya kimya
Sasa kwanini nimtese babu wa watu afe kwa presha bure akijua wanamgongea vijana? Si bora nipate dhambi moja ya kugongwa nje kwa amani kuliko kumdanganya padri na familia kisa nifiche aibu ya wanadamu kiwa sijaolewa?
 
Kwahiyo hata kama mtu humpendi umkubalie kwa sababu ametangaza ndoa?? Hiyo ndoa imekua Oxygen kwamba ukiikosa utakufa?
Mkuu mimi najua suala la kupendana haijawahi kutokea mkapendana wote wawili kwa wakati mmoja; mmoja ndo anaanza kupenda then kinachofuata mnapendana...kueni watu wa kutoa nafasi pale mtu anapokwambia anakupenda ili upime kama ndo upendo kile unachokita au laa
 
Sio kihivyo mkuu. Huwezi kuolewa na mtu hata akikushika unahisi kinyaa halafu utegemee utakua na ndoa ya amani.
 
mbona unamnanga hivyo huyo unayesema ni wifi yako au wewe ni ile jamii ya wanawake ambao huwa mnapenda kuwanyanyapaa ndugu wa mwanaume!
Kanifundishe yeye maana ni msengenyaji sijawahi ona mlokole wa aina yake. Sina tatizo na ndugu wa mume wangu. Mi naeleza tu tabia zake
 
Kanifundishe yeye maana ni msengenyaji sijawahi ona mlokole wa aina yake. Sina tatizo na ndugu wa mume wangu. Mi naeleza tu tabia zake
nimesoma comment zako kama 3 hivi kumuhusu yeye mara umesema kakeketwa sasa sioni uhusiano wa yeye kukeketwa na yeye kutokuolewa au unamaanisha hakuolewa kwa kuwa kakeketwa?anyway mi naona hukumtendea haki mwanamke mwenzako
 
Sijamtaja jina Sasa sijamtendea haki kivipi au unamjua? Kukeketwa kunaweza kukawa sababu ya kutokuolewa pia, huenda anayaonea aibu maumbile yake.
 
Sasa kwanini nimtese babu wa watu afe kwa presha bure akijua wanamgongea vijana? Si bora nipate dhambi moja ya kugongwa nje kwa amani kuliko kumdanganya padri na familia kisa nifiche aibu ya wanadamu kiwa sijaolewa?
Hapo unachotafuta ni dhambi ya kumsingizia babu watoto na sio kuwaacha kila mtoto na baba yake.unakuwa na watoto Saba na kila mtoto na baba yake na hapo utakuta unajidai mbele za watu kuwa hujawahi kufanya kazi ya uchangudoa
 
Sijakuelewa.
 
Wanawake Wenye umri kuanzia miaka 28 -30 ambao Mpaka Sasa hawajaolewa wapewe course gani ili waweze kuolewa!?? Alisikika mlevi mmoja akiuliza swali
hapo ndio mungu aliwekaga limit zake maana alikua anawajua akili zao kama wangekua na uwezo wa kuoa humu duniani kusingekua na amani wangeleta machungu sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…