Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kwahiyo hata kama mtu humpendi umkubalie kwa sababu ametangaza ndoa?? Hiyo ndoa imekua Oxygen kwamba ukiikosa utakufa?Wewe hiyo U_Afrika unaiacha wapi? Ila tuseme ukweli wadada wengi wanajiaribia wenyewe kwa kujiona bado wanalipa na muda upo upande waob; akijiona kua anatongozwa na wengi basi ata utangaze ndoa atakuambia anayo mpenzi wake wanapendana sana ..ikikaribia machuo ndo wanaanza kutabasamu ovyo ovyo tu na kila mwanaume