Dada zetu hivi unajisikiaje wenzako wanavyoolewa wewe upo tu umebung'aa?

Mkuu hudhani huu uzi utafanya wazidi kujiskia vibaya?

Kuolewa ni suala lipo nje ya control yao (mara nyingi)

Ulichofanya hapa ni sawa na kumuuliza kiwete anajiskiaje 'kuona wenzie wanatembea kila kukicha'?

Nashauri ufutilie mbali huu uzi kandamizi
Mi kama kiwete ntasimama ghafla nakuzaba bonge la bao kisha narudi chinu ukiniuliza hilo swali. Limekaa kama kejeli flani😂😂😂
 
b
Nikuambie tu hakuna mwanamke ambae hajawahi kubahatika kupata mtu mwenye nia ya kumuoa...tatizo lipo kwenu wanawake mnachagua sana,mnataka kila kitu mkukute,tatizo linaanzia hapo...
kuna wanawake wana bahati ya kupendwa haswa tena wakiwa wabichi tu na watu wa maana wale wenye uwezo wa kuoa kabisa ila huwa wanawakataa na kuwakubalia raia wasio na mipango. Too bad wanaishiaga pabaya, story ya manz mmoja alipendwa na jamaa head over heels anapewa kila anachotaka jamaa yupo serious dem akaleta mapicha picha, anapewa hela anapeleka kwa chalii yake hivi sasa yuko na hako kajamaa hakana mbele wala nyuma sahivi ana mtoto wa pili. Jamaa anamiliki saloon ya uswazi tu life limekuwa sio. Demu kujifungua tu anarudi kijiji kwa nauli ya kuunga unga
 
Sasa huyu aliweka pesa mbele, bibie aliweka true love hakuna kosa hapo.
 
Hivi mtu sahihi
Kuna kanuni ukitongozwa lazima ukubali halafu umri 30 kwako unauchukuliaje yaani Ukifika umri huo pasipo kuwa na ndoa ni mkosi,Ni bora kukaa bila ndoa kuliko kuolewa na mtu asiye sahihi.
anauzwa dukani, au anapatikana wapi? I believe pasipo kuwa na nia ya dhati ya kumpata mtu sahihi hutakaa umuone. Change mazingira, boresha tabia zako naimani utampata tu. Be real na maisha stop fantasies.
 
Sasa huyu aliweka pesa mbele, bibie aliweka true love hakuna kosa hapo.
Jamaa alimpenda haswa ila demu hakumpenda pamoja na vyote. Ila nadhani wanawake sometimes akili inahitajika zaidi kuliko hisia. Unapomzalia mtu ambaye hana ishu au bila mpango huyo mtoto atakula true love 😂😂😂??? Mapenzi yaendelee kuwepo ila kuwepo na mipango thabiti.
 
Hivi mtu sahihi

anauzwa dukani, au anapatikana wapi? I believe pasipo kuwa na nia ya dhati ya kumpata mtu sahihi hutakaa umuone. Change mazingira, boresha tabia zako naimani utampata tu. Be real na maisha stop fantasies.
Mtu sahihi hapatini dukani lakini umri si kigezo cha kutafuta ndoa hata na mwanaume asiye stahili kila mtu ana vigezo vyake ili aingie kwenye ndoa mimi huwa nawashangaa hali ya kuwa pande zote mbili kwa Sasa zinatatizo,Unaweza ukawa na nia ya dhati na usimpate kifupi jamii imechafuka ndoa si kitu muhimu tena kama zamani.
 
Huyo wa namba 3 uliyemzungumzia unaweza niunganisha nae
 
Wengi wanaofika 28> ndio zao la kuchagua chagua chagua hovyo sio kuwa hawakuwahi kupata watu serious earlier. Unakuta ana options nyingi kuchagua ile sahihi anashindwa anataka afurahishe nafsi anafata wrong choice kisa HB au Brotherman bila kujali kuwa kuna mtu makini zaidi wa kumuoa kabisa. Lastly ndio vilio humu.
 
Ni kitu muhimu sana tu ukizingatia tulizaliwa na inabidi tuzae kuendeleza kizazi. Sasa kama huoni umuhimu wa malezi sahihi ya watoto wako katika misingi ya familia endele kuwaza ndoa sio muhimu.
Kuna msemo mmoja naukubali sana...

"Do the right thing..not the easy!"

Tafakari hilo
 
Mkuu umenielewa vibaya nilipo andika kwa Sasa ndoa si kitu muhimu tena kama zamani nilimaanisha hata hao wanaume wengi wao sio waoaji ni Wachezeaji tukitaka kukosoa tukosoe pande zote mbili bila upendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…