Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Mshukuru Mungu kwa kila jambo,huwezi jua umeepushwa na nn....
 
Sii hao warembo unawapa good time bia nyama kwa wingi alafu unawagegeda baada ya hapo unawaua na kuchua figo unapiga bei maisha yanaendelea, tena mie nitachukua na mbususu niichemshe nipate supu
Ok kumbe unazungumzia hawa mama zetu.

Halafu mwanaume anayefanya hivyo anaitwaje ni malaya?jambazi au muuwaji?
 
Mkuu Unaongea as if kupandikiza Figo ni kama kupanda nyanya.. Mamjuii nini mnaongeaaa..!! Its not simple kama mnavyofikirii

Tatizo lako umeamua kubisha tu….hakuna sehemu nimesema kufanya hivyo ni rahisi.ni ngumu lakini kama ukijipanga kukabiliana na ugumu haitokua ngumu kwasababu utakua umejipanga tayari…by the way zipo scientific equipments za kuhifadhia viungo tafuta utaona usibishe kila kitu boss…kwamba unataka kuniambia hua huangalii hata movies boss….so far hakuna sehemu nimesema figo za huyo binti zimeenda kupandikizwa lakini kama lengo lilikua ni kupandikiza basi tambua hakuna lishindikanalo.
 
Kwahiyo mkuu uko hapa unasoma story ya OP ukitarajia ukweli. Huyu jamaa yupo humu miaka yote anatoa kamba za kufa mtu na mara zote anakuwa jirani, rafiki au mhusika. Sijawahi soma story yake critically ikawa ya kweli
 
Yaah ni kweli unachosema..
 
Ichi ikiwa chini ya Rais wa ovyo mambo kama haya yataongezeka sana hiyo ni biashara inayo ratibiwa na wakubwa "mabosi" na mahospitali ya serikali ndani yake wapo mafisadi wa chama na serikali over
 
Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..

Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
Nani hao waende huko hiyo ni michongo ya chama na serikali
 
Inabidi watu wawe makini katika udangaji.
 
Nakumbuka mwaka fulani sitoutaja, nilikuwa maeneo fulani sitayataja pia, hapo kulikuwa na waarabu kutoka Taifa fulani la kiarabu, walikuwa wakizungumza na katika mazungumzo yao, nilisikia kuhusu Meli moja kubwa ambayo huwa inaambaa sana kwenye mwambao wa nchi za Kenya na Tanzania, Meli hii inatokea huko Middle East, na kazi yake kubwa ni kukusanya viungo vya binaadam na kuvipeleka kwenye nchi moja Tata sana, kwa matumizi ya madawa, sikujua ni madawa gani..viungo hivi jinsi wanavyovipata ni kwa kuwachukua makahaba, na kwenda nao mpaka ktk meli hiyo, na ndio basi tena huwa wanapotelea huko, waliongea mengi lakini mengine ni katika lugha ya kiarabu sikuweza kuyaelewa, na bahati mbaya zaidi huyo aliyekuwa akizungumza hayo kwa sasa ni marehemu..

Hii Biashara ya viungo vya binaadamu ipo sana, japo yafanyika kwa usiri mkubwa, lakini ni biashara ya kimataifa na mawakala wapo mijini wanachora tu michoro.
 
kwa kweli wanawake wadangaji ni risk takers mbaya kabisa. Siku moja nikawa club,mtoto mzuri meza ya jirani nikamwita tukae wote. Saa 6 nikaondoka naye. Namuhoji amewezaje kuwa tayari kulala na mtu hamjui hata jina wala chochote. Anasema yote namwachia Mungu
 
Wewe uliwezaje kulala na mtu usiyemjua una tofauti gani na huyo bi dada??🤔
 
Kwahiyo mkuu uko hapa unasoma story ya OP ukitarajia ukweli. Huyu jamaa yupo humu miaka yote anatoa kamba za kufa mtu na mara zote anakuwa jirani, rafiki au mhusika. Sijawahi soma story yake critically ikawa ya kweli
Hii kali au naye ni chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…