Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Kuna midubwana fulani hivi humu nchini.[emoji2][emoji2]
Wewe ni mmoja wao, jabali la karne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo I'd si ya kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukweli ni UPI mkuu ? Dadavua
 
Hapa ni wadada kuwa makini na hawa wanaowaita madaga ,MTU umekutana nae bar au club ,anakupa vinywaji unabugia bila shida ,anakuomba utumie nae usiku huo unakubal ,ukicheki nje kapark range rover na namba bandia ankutoa pale umelewa anakuepeleka polini wanakuua na kuondoka na viungo

Tuwaombee sanaa Dada zetu maana wakikutana na madanga ya hivyo akili zao zinakaa kipigaji pigaji mwisho wa siku majanga kama haya

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Ulifukua mtaro ??mkuu???
 
Sasa walijuaje kama huyo dada figo zake zina ubora. Na je walijuaje kama figo za huyo dada zinaendana na mgonjwa wao? Ukitafuta figo lazima upate donor mnayeendana vinginevyo haiwezekani.
 
Na kuendana ni vitu vingi lasivyo Mwili unareject mapema tu..
Watu wanazani ni kuchukua tu figo na kupachika. Watu wanaenda na ndugu zao kuchangia figo ila wakifanyiwa vipimo haviendani hadi wanakosa ndugu mwenye figo inayoendana itakuwa mlevi baki tu wa baa ukamchukue umtoe figo hujui hata figo lenyewe linafanya kazi asimilia ngapi na mambo mengine chungu mzima.
 
Yaah Ndugu wa damu kabisa huwa Inareject hata akinywa Immuno depresant kiasi gani...
 
Usihukumu kitabu kwa kusoma jina tu😂
 
Tena nahisi Kuna mijumba special wanapanga kwa ajili ya kazi..maana Kuna mijumba Ina migeti mikubwa wanaoishi humo ndani huwa hawajulikani,..kweli tuwe Malini uwiiii
 
Masikini. Huyo ameshakata tamaa ya kila kitu
 
Naumiaga sana nikisikiaga chochote kumuhusu mtoto wa kike najua siku ntakuja kuwa na mtoto wakike ila kwa kweli jamii inamkandamiza sana huyu Kiumbe tangu enzi na enzi na baadhi ya wanawake wenyewe wameathiriwa na mfumo dume duniani.. wanajikuta wanajirahisisha sana kwa kigezo cha umasikini.. inawezekanaje? Sasa dada mzuri kama yule uende na mwanaume ambaye hata haumfaham yaani daah mbona una muonekano mzuri wa kutulia na ukapata mwanaume wa kufanya nae maisha ... WANAWAKE NAWAPENDA SANA ILA INABIDI MBADILISHE TABIA BAADHI YENU TUNAWATEGEMEA SANA KATIKA DUNIA HII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…