Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Nahunga mkono hojaSii hao warembo unawapa good time bia nyama kwa wingi alafu unawagegeda baada ya hapo unawaua na kuchua figo unapiga bei maisha yanaendelea, tena mie nitachukua na mbususu niichemshe nipate supu
Mungu fundi sana. Ingekuwa figo lolote linaingia kwa mtu yeyote hii biashara ingekuwa kubwa na mbaya sana! Ila huwezi kuchukua figo bila kujua kama ni matching donor hivyo unaleta ugumu na ndipo tunapoona hii Stori hapa kama chai.Na kuendana ni vitu vingi lasivyo Mwili unareject mapema tu..
Wadada sahv wamejaa tamaaHapa ni wadada kuwa makini na hawa wanaowaita madaga ,MTU umekutana nae bar au club ,anakupa vinywaji unabugia bila shida ,anakuomba utumie nae usiku huo unakubal ,ukicheki nje kapark range rover na namba bandia ankutoa pale umelewa anakuepeleka polini wanakuua na kuondoka na viungo
Tuwaombee sanaa Dada zetu maana wakikutana na madanga ya hivyo akili zao zinakaa kipigaji pigaji mwisho wa siku majanga kama haya
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Yani kuna watu Ndugu kabisa mimi nilikuwa nawaona wanakuja Kufanya vipimo kucheck Comparyibility ya Figo wapo waliokuwaverified zinamatch lakini bado mwili Ulizireject...!! Pia bongo **** changamoto sana yani kuna Procedure bila Guide ya wazungu nasema hakuna kimachoendaa.... Kutolewa tu biopsy inakuwa ishuMungu fundi sana. Ingekuwa figo lolote linaingia kwa mtu yeyote hii biashara ingekuwa kubwa na mbaya sana! Ila huwezi kuchukua figo bila kujua kama ni matching donor hivyo unaleta ugumu na ndipo tunapoona hii Stori hapa kama chai.
Madanga utakuta ni professional wana vifaa na timu nzima ya kuvuna viungo vya wadangajiHakuna Mechanism ya Kuhifadhi kiungo cha Binadamu ili Kipandikizwe kwa Binadamu mwingine maana Figo ili iendelee kuwa Active na kufanya kazi lazima ipate Blood suppy muda wote tena yenye Chakula na Oxygen sasa kama Umaitoa ukaiweka hivyo vitu vitatoka wapi??? Ndo maana inabdi Itolewe na Kupandikizwa at Instant... Ndo maana hata mtu akifa na organ zake labda muwahi kabla hajapoa ndo itolewe otherwise inakufa nayo...
Happy new year mkuuMungu fundi sana. Ingekuwa figo lolote linaingia kwa mtu yeyote hii biashara ingekuwa kubwa na mbaya sana! Ila huwezi kuchukua figo bila kujua kama ni matching donor hivyo unaleta ugumu na ndipo tunapoona hii Stori hapa kama chai.
Kwa hiyo ukisikia chochote kuhusu mtoto wa kiume huumii? Mfumo dume unaelewa ni nini? Wewe ni feminist wa kiume?Naumiaga sana nikisikiaga chochote kumuhusu mtoto wa kike najua siku ntakuja kuwa na mtoto wakike ila kwa kweli jamii inamkandamiza sana huyu Kiumbe tangu enzi na enzi na baadhi ya wanawake wenyewe wameathiriwa na mfumo dume duniani.. wanajikuta wanajirahisisha sana kwa kigezo cha umasikini.. inawezekanaje? Sasa dada mzuri kama yule uende na mwanaume ambaye hata haumfaham yaani daah mbona una muonekano mzuri wa kutulia na ukapata mwanaume wa kufanya nae maisha ... WANAWAKE NAWAPENDA SANA ILA INABIDI MBADILISHE TABIA BAADHI YENU TUNAWATEGEMEA SANA KATIKA DUNIA HII
Na Mimi nauliza hivyo. Lands kama ilikuwa picha marehemu alivokutwa kauawa,nlakini kama nl passportHatari sana...
Ila sijaelewa kwa nini umetoa picha, au uliweka picha ya mtu mfu?
Hawawezi wakafanyia Muhimbili. Wanafanyia hospitali za VichochoroniWaende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..
Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
Clip ya ndgu yake iko anasema hajanyofolewa chochote wala jeraha lolote labda hiyo figo katolea mdomoniEbwanae toto kali ivo hao wakaona Figo, Mungu apumzishe mahali pema anapostahili
Mjomba wa marehemu kasema hajatolewa figo maiti wameikagua,udangaji mitaa ya tabata ni mkubwa sana kwa miaka hii ya karibuniRIP dear, hivi si kuna figo za kupandikiza za nguruwe? Au za binadamu zinahitajika kwenye ushirikina?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe uliwezaje kulala na mtu usiyemjua una tofauti gani na huyo bi dada??[emoji848]
Au tunakupiga mtungohatununui kabla ya makubaliano, issue inakuja makubaliano yanapokiukwa inakuwa dharau ya kiwango cha juu....waungwana watakusamehe, wasio waungwana lazima wakulie timing ndio hivyo unakuta huna figo....
Naomba picha pm mkuuR.I.P[emoji24][emoji24] inasikitisha sana
Huyu msichana anaitwa Barke, ameuliwa kifo kibaya sana anaishi llala mtaa wa utete na Pangani.
Inasemekana siku ya tukio tatehe 31, walichukuana na mwenzake wakaenda Tabata (Kitambaa cheupe) kwenye starehe zao huku wanakunywa akiwa na mwenzake na mbaba waliyempata hukohuko (Danga).
Sasa yule mwenzie na marehemu Barke akaenda chooni, anarudi anakuta mwenzie hayupo pale walipokuwa wamekaa anamuangalia hamuoni, anampigia Barke simu imezimwa, siku nne mfululizo. Sasa msichana inabidi ahadithie kwao kuwa nimetoka na Barke na ninampigia simu hapatikani siku ya nne sasa simuoni na nyumbani kwake hayupo. Wakaenda police na taratibu za kumtafuta zikaanza.
Kwenye kumtafuta wakaenda hospitali zote kufika Amana wakaambiwa "Bwana, hapa ililetwa maiti ya mwanamke tarehe 1, baada ya kukaa sana imechukiliwa imepelekwa Muhimbili" ndugu walivyoenda Muhimbili wakautambua mwili wa Barke na walipomchunguza wakakura ametolewa figo.
Pumnzika kwa amani dada inauma sana hii yote inatokana na umasikini kikubwa ni umakini, mtu humjui anaanza kukunywesha pombe kwa kigezo cha danga.
NB: Nimetoa picha baada ya kupata pm za wengi kuwa nifanye hivyo nami nmetoa kulinda faragha ya marehemu ila nmeacha thread kama funzo kwa dada zetu
Yes zinaweza kukatch lakini bado mwili ukaireject baada ya miez kadhaa ikawa haifai tena. Pia inabidi mpokeaji aendelee tumuia dawa flan ili kuzuia mwili usiishambulie na hizo dawa zinadumuza kinga ya mwili kwa kiasi flaniYani kuna watu Ndugu kabisa mimi nilikuwa nawaona wanakuja Kufanya vipimo kucheck Comparyibility ya Figo wapo waliokuwaverified zinamatch lakini bado mwili Ulizireject...!! Pia bongo **** changamoto sana yani kuna Procedure bila Guide ya wazungu nasema hakuna kimachoendaa.... Kutolewa tu biopsy inakuwa ishu
Na wewe pia mdadaHappy new year mkuu
Mpaka watu wanamtoa mtu figo it means wamejipanga kwa mambo yote hawajakurupukaNa wameitoa akiwa hai hao washenzy; and it's risky! May be Ana magonjwa; so inaweza kuwa waste tu!
Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..
Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.