Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Ukimtoa figo mtu, unaenda kuifanyia nini? Kama ni kuipandikiza, what about histocompatibility?
 
R.I.P[emoji24][emoji24] inasikitisha sana

Huyu msichana anaitwa Barke, ameuliwa kifo kibaya sana anaishi llala mtaa wa utete na Pangan...
Kwenye kumtafuta wakaenda hospitali zote kufika Amana wakaambiwa "Bwana, hapa ililetwa maiti ya mwanamke tarehe 1, baada ya kukaa sana imechukiliwa imepelekwa Muhimbili" ndugu walivyoenda Muhimbili wakautambua mwili wa Barke na walipomchunguza wakakura ametolewa figo.
 
Ndugu wepi waliosema kuwa alitolewa figo?

Una chanzo?????
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Duuuh apumzike salama huko aliko.
 
Nimenukuu toka mada kuu c&p sijui lolote
Ndugu wa marehemu waliukagua mwili wake. Kabla ya ukaguzi huo, walielekezwa kabisa kuwa figo iko wapi.

Walipoukagua, hawakuona chochote kile kilichoonyesha kuwa labda huenda alinyofolewa figo.

Maneno ya ndugu yake haya hapa kwenye video. Anzia dakika ya 10 mpaka ya 11.

Ndugu wa marehemu waliukagua mwili wake. Kabla ya ukaguzi huo, walielekezwa kabisa kuwa figo iko wapi.

Walipoukagua, hawakuona chochote kile kilichoonyesha kuwa labda huenda alinyofolewa figo...
Asante kwa ufafanuzi
 
Na wameitoa akiwa hai hao washenzy; and it's risky! May be Ana magonjwa; so inaweza kuwa waste tu!

Hapana hii uwezekano mkubwa imetolewa kwenye hizo hospitali baada ya kugundua maiti haina mtu.
 
Ukweli Mzima Uko hapa HATA SIO MASUALA YA FIGOOO

Dada zetu Dangeni kwa TAHADHARII KUNA WATU HAWAJUI KUSAMEHEE HELA ZAO USIJIONE MJANJA.
 
Sijui kwanini natamani huyo rafiki yake walieenda nae club nae ahojiwe. Btw, uhalifu wa kishenzi sana na kizamani. Mahakama itaamua
 
Sijui kwanini natamani huyo rafiki yake walieenda nae club nae ahojiwe. Btw, uhalifu wa kishenzi sana na kizamani. Mahakama itaamua
Ahojiwe nini mkuu?? Siku Hizi ukifanya uhalifu labda uwe Off network lasivyoo utashikwaa tuu kaka yani Mitandao ya simu hii balaaa.. Osama alidumu maana alikaa ofd radar yani fanya uhalifu like you are living in the past.. Otherwise umeishaa
 
Kwani kwenye crime investigation watu wanahojiwa ili iweje?
 
Kwani kwenye crime investigation watu wanahojiwa ili iweje?
Watu washakamatwa na wametubu hapo ni Kupelekwa mahakamani tu na ushahidi kukamilika rafiki zake wa kike hawana ishu na tukio.
 
Watu washakamatwa na wametubu hapo ni Kupelekwa mahakamani tu na ushahidi kukamilika rafiki zake wa kike hawana ishu na tukio.

Ohh okay then you still need to be acquainted with basic principles on criminology.
 
Ahojiwe nini mkuu?? Siku Hizi ukifanya uhalifu labda uwe Off network lasivyoo utashikwaa tuu kaka yani Mitandao ya simu hii balaaa.. Osama alidumu maana alikaa ofd radar yani fanya uhalifu like you are living in the past.. Otherwise umeishaa
achana na off network hata ukihamia sayari nyingine utadakwa tu labda serikali ikulinde kama wauaji wa Ben Saanane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…