Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Mbona ndugu wamehojiwa na Mange App wanasema siyo kweli?
Source nimeweka hapo sababu nipo jirani na mitaa hiyo na wakazi wa hapo wa hapo hata muuza nanasi atakwambia kilichotokea.

Hakuna mzazi mwenye mapenz ya dhati na mwanae atapenda kutangaza kuwa mwanae amefia bar au alikuwa na mwanaume bar akauliwa hamna
 
Figo labda ya kwenda kutambikia. Figo ya kwenda kumwekea mtu mwingine haitolewi hivyo. Inatolewa hospital kwenye chumba cha upasuaji na madaktari bingwa chini ya mazingira maalum ile isipoteze function (isife kabla ya kumwekea mtu mwingine). Na inachukuwa saa kadhaa kumaliza hilo zoezi.
 
Mkoa Mwanza imeokotwa miili ya wanawake watatu wanaokadiriwa na umri kati miaka 18, 22 na 23, uchunguzi wa awali umeonesha wameshambuliwa vibaya shingoni na bado hawajatambilka, maiti zimehifadhiwa hosoitalini.
 
Mkoa Mwanza imeokotwa miili ya wanawake watatu wanaokadiriwa na umri kati miaka 18, 22 na 23, uchunguzi wa awali umeonesha wameshambuliwa vibaya shingoni na bado hawajatambilka, maiti zimehifadhiwa hosoitalini.
Chanzo kipi??
 

Uliona imetolewa Wapi wewe?
 
Dah kumbe unaweza ukawagegeda alafu baadae ukawaua na kichukia figo unapiga bei.
 
ebu na mimi nitumie hizo picha PM nimuone labda kuna jambo nitasema hapa
 
Mi pia nashangaa,watu wanaongekea kutoa figo kamakukata nywele saloon,labda hizo figo wanachoma mishikaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…