Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe

Huu mji ifike mda police waanze kufanya vetting ya vijana wanachofanya to survive maana kumekuwa na watu wa ovyo wanaoshinda mabar na club bila kujulikana source ya income especially mbezi beach,sinza na tabata.
 
Hatari sana. Mambo ya kwenda kula kichwa unaenda kuliwa wewe. Ni muhimu kumjua mtu kabla ya kukaa faragha. Haya mambo ya kuokotana humjui mtu wengine serial killers. Ulimwengu unatisha sana hata nyie wanaume muwe makini. Sio kila mwanamke anatafuta mwanaume huko kwenye starehe wengine wanatafuta viungo wapeleke kwa waganga.

Apumzike kwa amani mdada mzuri
 
Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..

Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
 
Weka picha mkuu inaweza kuwa MTU aliona akichukuliwa n.k
 
Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..

Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
[emoji3581][emoji3581]
 
Hizi shughuli zipo sana mjini nmeshasikia case kama hizi nying mahakamani
 
Hivi kwa nini watu wengine wanakufa vifo vya maumivu sana, kuuliwa, Kansa etc. na wengine wanalala tu usiku unasikia wamekufa?
Umeuliza swali zuri sana, watu hawawazi kuhusu kufa wanapenda Sana Mambo ya Dunia.

Ukipata muda ukatafakari kuhusu kifo hata lifestyle yako itabadilika automatically na ukiweza kutafakari kwa kina utaweza kuuona mwisho wako.

Nitakufaje by king crazy GK
 
watu wamepinda maisha magumu, juzi humu jf kuna jamaa alikuwa anaulizia dili haramu la pesa nyingi

Figo moja tuu zaidi ya milioni 72, zikiwa mbili milioni 144, kwa hapo vp

na vp kuhusu majambazi walozoea kuvunja mabenki na kuua, hii kwao mbona ni njia rahisi kabisa

wanatafuta kamchepuko huko wanakalewesha na kufanya watakavyo.
 
Hii habari inaonekana kuna hatari kubwa nchini. Biashara haramu ya viungo vya binadamu si ya kufanyia mzaha, au kusema wadada wanapenda starehe. Ni ishu hatari kwa wote.
 
Danga la kinaijeria hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah noma sana hizi issue nilizikuta China, na wahanga wakubwa wakiwa ni foregners (wageni). Tuliambiwa na wenyeji wetu tuwe makini sana especially tunapotoka usiku tuwe angalau wawili na kuendelea maana ukiwa pekeyako hueleweki eleweki utakujastuka asubuhi una mshono tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…