Dada zetu kuweni makini na madanga mnayopata sehemu za starehe


para ya mwisho ni wazo zuri, these things should be official and legalized.....kuwe na apps wawe registered wanalipa kodi na hata mkikutana bar, unamuuliza jina na id no yake unaingia kwenye app unamhook na inaonekana yuko booked....kazi inaendelea very safe and smart kama uber na bolt vile....hukuipenda huduma yake humpi nyota zake.... Yeye atakuwa salama na wewe utakuwa salama...ukimalizana naye, she signed out and you signed out in app...
 
Hii ni ngum sana kuidhibiti na ndo maana ukifuatilia cases za serial killers dunia nzima utakuta victims wengi ni prostitutes.
 
Hakika

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Wadada badirisheni kwanza mentality zenu za maisha ndio dunia iwaonee huruma...sasa mnataka huruma mkiwa na mentality zile zile....ukiamua kuwa Malaya aka Mdangaji kubaliana na lililo mbele maana umechagua risk business kama wengine walivyochagua kuwa wezi, majambazi, na kazi nyingine za hatari...

Kazi za hatari huwa ni hatari tu, ukiwa jambazi utakutana na wananchi + polisi utakula risasi au moto, umeamua kuwa malaya au mdangaji basi wateja wako ni wa kila aina na tabia za kila aina huna budi kupambana nazo na si kuilazimisha dunia ifuate unavyotaka wewe kuishi...

wengine watakuja na mashaft marefu, wengine shaft nene, wengine wazee wa 90mins, wengine wazee wa 2 in 1, wengine wachafu, wengine wanashida na figo, wengine wazee wa rough road, wengine wanafanya research, wengine wanashida ya kuona ukivua ukoje nk....hizi zote ni risk za kazi uliyochagua...
 
Mechanism ya kuhifadhi IPO linaweza kaa nnje ya mwili mpaka masaa 72 lakini ndani storage media.


 
Umeandika vizuri. Akili kumkichwa
 
Hii ni ngum sana kuidhibiti na ndo maana ukifuatilia cases za serial killers dunia nzima utakuta victims wengi ni prostitutes.
Ninajua kesi nyingi za serial killers.

Niamini mimi nikikuambia kui-legalize kutapunguza mauaji.

Mfano Uholanzi wamelegalize prostitution, rate ya prostitutes kua victims ni sawa na Urusi au baadhi ya states za USA ambazo wana sheria kali towards prostitution?
 
Yaani nimeogopa sana!nawaza vingi sana!dunia imebadilika mnoo watu wamekua wanyama sana!
Mdada kafa na urembo wake

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
NA KWA STYLE HII YA KUWAPELEKA VIWANJA VYA STAREHE HAPO WATAWAOKOTA SANA WADADA ZETU,MAANA WAMEJAWA NA TAMAAA SANAAAAAA SAHV

ova
 
Waende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..

Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
Haitasaidia ashakufa tayari!kushukuru tu Mungu mmepoteza baasi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Umeclear doubt maana humu wengine kujifanya wajuaji Mara uongo sijuii!!mfyyuu zao

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…