Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Daaaah.Ndio hapo wee wawekee mapombe wanaona wamepata danga la ukweli kumbe wee unawalia timing tuu...baadae unajibebea kirahisi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah.Ndio hapo wee wawekee mapombe wanaona wamepata danga la ukweli kumbe wee unawalia timing tuu...baadae unajibebea kirahisi kabisa
Wauaji/ organ traffickers hua wanatarget homeless na prostitutes kwakua hawawi missed imagine mtu kapotea siku ya nne ila familia haikupeleka taarifa polisi mpaka rafiki yake alipoongea.
Na rafiki yake alipomkosa pale bar akaamini mwenzake ameenda kulala na jamaa wala hakuwazia mabaya. Na hauwezi kutoa taarifa polisi kwakua unahisi labda bado yupo mawindoni.
It's high time escort service ikahalalishwa to the extent mtu akipotea tuwe na pa kuanzia. Tutadhibiti vifo, madawa na magonjwa.
Hali ni mbaya hasa hasa hawa warembo wa vyuo...hao ndio warahisi kabisaaaDaaaah.
Hii ni ngum sana kuidhibiti na ndo maana ukifuatilia cases za serial killers dunia nzima utakuta victims wengi ni prostitutes.Wauaji/ organ traffickers hua wanatarget homeless na prostitutes kwakua hawawi missed imagine mtu kapotea siku ya nne ila familia haikupeleka taarifa polisi mpaka rafiki yake alipoongea.
Na rafiki yake alipomkosa pale bar akaamini mwenzake ameenda kulala na jamaa wala hakuwazia mabaya. Na hauwezi kutoa taarifa polisi kwakua unahisi labda bado yupo mawindoni.
It's high time escort service ikahalalishwa to the extent mtu akipotea tuwe na pa kuanzia. Tutadhibiti vifo, madawa na magonjwa.
Siku hizi kuna slay queens watoto wanaoamini maisha yanatokea kwenye kudanga. Na wengi wanapenda kuishi huko Tabata.Hali ni mbaya hasa hasa hawa warembo wa vyuo...hao ndio warahisi kabisaaa
HakikaWauaji/ organ traffickers hua wanatarget homeless na prostitutes kwakua hawawi missed imagine mtu kapotea siku ya nne ila familia haikupeleka taarifa polisi mpaka rafiki yake alipoongea.
Na rafiki yake alipomkosa pale bar akaamini mwenzake ameenda kulala na jamaa wala hakuwazia mabaya. Na hauwezi kutoa taarifa polisi kwakua unahisi labda bado yupo mawindoni.
It's high time escort service ikahalalishwa to the extent mtu akipotea tuwe na pa kuanzia. Tutadhibiti vifo, madawa na magonjwa.
Ni soft target kabisa yaani unawabe a na unawafanya utakavyo bila shida yoyoteHii ni ngum sana kuidhibiti na ndo maana ukifuatilia cases za serial killers dunia nzima utakuta victims wengi ni prostitutes.
Tabata kwa wala bata huko huko ndio full maraha warembo unajiokotea tuu hadi raha....ni vibration ya misambwanda tuuSiku hizi kuna slay queens watoto wanaoamini maisha yanatokea kwenye kudanga. Na wengi wanapenda kuishi huko Tabata.
Na mafala mbona tupo tu uku kitaani na show tunamudu,tatizo dada zetu tamaa sanaDuh Wadada bora ung'ang'anie fala lako huko kitaa ukalidange sio total strangers. Ni hatari sana aisee.
Mechanism ya kuhifadhi IPO linaweza kaa nnje ya mwili mpaka masaa 72 lakini ndani storage media.Hakuna Mechanism ya Kuhifadhi kiungo cha Binadamu ili Kipandikizwe kwa Binadamu mwingine maana Figo ili iendelee kuwa Active na kufanya kazi lazima ipate Blood suppy muda wote tena yenye Chakula na Oxygen sasa kama Umaitoa ukaiweka hivyo vitu vitatoka wapi??? Ndo maana inabdi Itolewe na Kupandikizwa at Instant... Ndo maana hata mtu akifa na organ zake labda muwahi kabla hajapoa ndo itolewe otherwise inakufa nayo...
Umeandika vizuri. Akili kumkichwaWadada badirisheni kwanza mentality zenu za maisha ndio dunia iwaonee huruma...sasa mnataka huruma mkiwa na mentality zile zile....ukiamua kuwa Malaya aka Mdangaji kubaliana na lililo mbele maana umechagua risk business kama wengine walivyochagua kuwa wezi, majambazi, na kazi nyingine za hatari...
Kazi za hatari huwa ni hatari tu, ukiwa jambazi utakutana na wananchi + polisi utakula risasi au moto, umeamua kuwa malaya au mdangaji basi wateja wako ni wa kila aina na tabia za kila aina huna budi kupambana nazo na si kuilazimisha dunia ifuate unavyotaka wewe kuishi...
wengine watakuja na mashaft marefu, wengine shaft nene, wengine wazee wa 90mins, wengine wazee wa 2 in 1, wengine wachafu, wengine wanashida na figo, wengine wazee wa rough road, wengine wanafanya research, wengine wanashida ya kuona ukivua ukoje nk....hizi zote ni risk za kazi uliyochagua...
Ninajua kesi nyingi za serial killers.Hii ni ngum sana kuidhibiti na ndo maana ukifuatilia cases za serial killers dunia nzima utakuta victims wengi ni prostitutes.
Yaani nimeogopa sana!nawaza vingi sana!dunia imebadilika mnoo watu wamekua wanyama sana!Hatari sana. Mambo ya kwenda kula kichwa unaenda kuliwa wewe. Ni muhimu kumjua mtu kabla ya kukaa faragha. Haya mambo ya kuokotana humjui mtu wengine serial killers. Ulimwengu unatisha sana hata nyie wanaume muwe makini. Sio kila mwanamke anatafuta mwanaume huko kwenye starehe wengine wanatafuta viungo wapeleke kwa waganga.
Apumzike kwa amani mdada mzuri
Kwasababu Gani yani.. au unadhani ninabahatisha ninachosema?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muhimbili huwezi kuta case za hivi mkuu.
Inaogopesha mkweYaani nimeogopa sana!nawaza vingi sana!dunia imebadilika mnoo watu wamekua wanyama sana!
Mdada kafa na urembo wake
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Haitasaidia ashakufa tayari!kushukuru tu Mungu mmepoteza baasiWaende muhimbili wafatilie wagonjwa walio badilishwa figo ndani ya masaa 72 kutokea siku ya tukio..
Kwenye hao wagonjwa wote wanatakiwa waseme walipotoa hizo figo walizowekewa.
Maisha ya mitandaoni yanamaliza mabintiNA KWA STYLE HII YA KUWAPELEKA VIWANJA VYA STAREHE HAPO WATAWAOKOTA SANA WADADA ZETU,MAANA WAMEJAWA NA TAMAAA SANAAAAAA SAHV
ova
Umeclear doubt maana humu wengine kujifanya wajuaji Mara uongo sijuii!!mfyyuu zaoNi kweli na mimi nilikuwepo msibani. Ila kuna baadhi ya habar kaficha ila yote aliyosema ni kweli. Kiukweli wote tunazaa na hatupaswi kumlaumu huyu dada kwa lolote kikubwa tujitahd kuwekeza kwaajili ya watoto kiroho na kimwili na tuwaombee sana watoto wetu. Kila mtu hapa ana majanga yake. Wengine tungeweza kufia gest na michepuko lakin Mungu ametupa nafasi tutubu. Ukimuona mwenzio kakutana na hili ni suala la kujitafakar na kutubu na sio kuwaona kama wakosaji sana.