Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Hata mi naelewa mapenzi bila fedha hayaendi ila Sasa fedha ipi sasa.. je,ni ile ukitongozwa tu na gesi inaisha,nywele zinafumuka,Kodi inaisha au..?
Fedha hiyo hiyo unayojua bila kuwa nayo mapenzi yatakusumbua
 
Ni kweli, hasa wadada wa mjini, ukimtongoza tu kodi inaisha, gas, nywele mara blabla
Pesa haina kijijini wala mjini mkuu. Huoni kuna wanaume huku huwa wanagomba kisa wameombwa na "my" wao 5,000.?
 
Pesa haina kijijini wala mjini mkuu. Huoni kuna wanaume huku huwa wanagomba kisa wameombwa na "my" wao 5,000.?
Huo ni ufala, wat is 5k?
Pili.
Wanawake wapo wanajishusha sana thamani.
Mkibadilishana namba yaani akagundua una interest naye, kabla hujamtongoza anaanza kulia njaa hadi aibu.
Why asisubirie hadi aone uhalisia wa mahusiano?
 
Huo ni ufala, wat is 5k?
Pili.
Wanawake wapo wanajishusha sana thamani.
Mkibadilishana namba yaani akagundua una interest naye, kabla hujamtongoza anaanza kulia njaa hadi aibu.
Ni njaa tu zinatusumbua. Ukipata mwanamke akaanza hizo ondoka mapema sana. Kwanza anakuona mshamba ndo maana anakupiga bill za kijinga kijinga, Pili mwanamke wa hivyo ujue hajimudu hata kwa kidogo yani wewe utakua mzazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…