Dada zetu tafadhali hata kama mnapenda Kuogelea, tafadhali msiogelee Baharini mkijijua mpo Mwezini ( Period ) sawa?

Ukiwa ndani ya maji ndio inakata, ukitoka nje ya maji baada ya muda inatoka tena

Nilienda swimming pool na marafiki zangu, mmoja akaniambia hivyo nikasema nijaribu mzigo haukutoka mpaka muda wa kuondoka
Sidhani km inakata ila labda huelew km inatoka Kwa kuwa itakuwa inachanganyika na maji 😃 ila Dah
 
🤣🤣🤣🤣 sikuwahi kujua hili
 
Ahaa!🤔Kumbe sasa nimeshaelewa kitu..
 
wewe utakuwa ulipita kwenye Physics, nilifikiri kama wewe ila nikawa nakosa lugha rahisi ya kuelezea
 
Ukiwa ndani ya maji ndio inakata, ukitoka nje ya maji baada ya muda inatoka tena

Nilienda swimming pool na marafiki zangu, mmoja akaniambia hivyo nikasema nijaribu mzigo haukutoka mpaka muda wa kuondoka
Wewe atakaye kuwa anakuchakata ana balaa sana.ndo maana kule JKT walikunanii sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…