Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandae kuingizwa bomba kwenye kitobo cha mti kutoa uchafuNingeshalipata Siku nyingi tu kwani huwa Nawabandua wengi tu wakiwa katika hali hiyo ila sijawahi kupata hilo Busha.
Sidhani km inakata ila labda huelew km inatoka Kwa kuwa itakuwa inachanganyika na maji 😃 ila DahUkiwa ndani ya maji ndio inakata, ukitoka nje ya maji baada ya muda inatoka tena
Nilienda swimming pool na marafiki zangu, mmoja akaniambia hivyo nikasema nijaribu mzigo haukutoka mpaka muda wa kuondoka
Ukiwa mwezini niambie twende beach uone! Tena uvae swimming custome nyeupe uone haitopata hata doa😂 muhimu ukae ndani ya maji muda woteSidhani km inakata ila labda huelew km inatoka Kwa kuwa itakuwa inachanganyika na maji 😃 ila Dah
Mhmmm kaonemiaka 11 iliyopita Nilishawah kunya mavi swimming pool
City garden 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 sikuwahi kujua hiliKuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa.
Na wataalam wa Wanyama wanasema kuwa hakuna Viumbe ambao wanajua Kunusa na Kuhisi vile vilivyo mbali au vilivyofichwa kama hawa Wanyama ambao kuna muda tunawaona hawana Akili Kubwa kama zetu lakini kumbe Kiuhalisia kuna Wanyama wengi tu wana Uwezo mkubwa wa mambo kuliko Sisi.
Nilikuwa sijui kwanini Ng'ombe au Mbwa huwa Wakali sana na hata muda mwingine Kuwakimbiza na Kuwabwekea sana Dada zetu kumbe kwa mujibu wa Wanasayansi na Wataalam wa Wayama wanasema kuwa ukiona wanafanya hivyo kwa Mwanamke aliye karibu nawe basi jua huyo Mwanamke anakuwa Hedhini.
Utoto Raha sana kamin mii😂😂Mhmmm kaone
Ningekualika kwangu ila kwa sasa hapana asee😁😁Utoto Raha sana kamin mii😂😂
Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa.
Na wataalam wa Wanyama wanasema kuwa hakuna Viumbe ambao wanajua Kunusa na Kuhisi vile vilivyo mbali au vilivyofichwa kama hawa Wanyama ambao kuna muda tunawaona hawana Akili Kubwa kama zetu lakini kumbe Kiuhalisia kuna Wanyama wengi tu wana Uwezo mkubwa wa mambo kuliko Sisi.
Nilikuwa sijui kwanini Ng'ombe au Mbwa huwa Wakali sana na hata muda mwingine Kuwakimbiza na Kuwabwekea sana Dada zetu kumbe kwa mujibu wa Wanasayansi na Wataalam wa Wayama wanasema kuwa ukiona wanafanya hivyo kwa Mwanamke aliye karibu nawe basi jua huyo Mwanamke
Ahaa!🤔Kumbe sasa nimeshaelewa kitu..Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa.
Na wataalam wa Wanyama wanasema kuwa hakuna Viumbe ambao wanajua Kunusa na Kuhisi vile vilivyo mbali au vilivyofichwa kama hawa Wanyama ambao kuna muda tunawaona hawana Akili Kubwa kama zetu lakini kumbe Kiuhalisia kuna Wanyama wengi tu wana Uwezo mkubwa wa mambo kuliko Sisi.
Nilikuwa sijui kwanini Ng'ombe au Mbwa huwa Wakali sana na hata muda mwingine Kuwakimbiza na Kuwabwekea sana Dada zetu kumbe kwa mujibu wa Wanasayansi na Wataalam wa Wayama wanasema kuwa ukiona wanafanya hivyo kwa Mwanamke aliye karibu nawe basi jua huyo Mwanamke anakuwa Hedhini.
Usijali boss , nitakujaMkuu! Nina zawadi yako, unajua kutegua vitendawili
Ila njoo na id yako kongwe tuongee vizuri☺️
Ok bossKabisa haujakosea ephen_ ni mimi na mimi ni ephen halafu ni wa kiume kabisa.
wewe utakuwa ulipita kwenye Physics, nilifikiri kama wewe ila nikawa nakosa lugha rahisi ya kuelezeaPressure in liquid ni tofauti na atmospheric pressure!
Ukiwa kwenye maji pressure ya maji ni kubwa kuliko yako hivyo Milango izibe Ili ku maintain pressure ya mwili wako!
Ukiwa nje ya maji pressure ya hewani ni ndogo kuliko ya kwako ilibidi damu iendelee kutoka ku maintain pressure yako!!!
Nadhani
Ulikuwa 'unablidi' hiyo Siku au?Niliwahi kukimbizwa na ng'ombe Sina Hamu nikimuona ng'ombe mimi napita kuleeee
Wewe atakaye kuwa anakuchakata ana balaa sana.ndo maana kule JKT walikunanii sana.Ukiwa ndani ya maji ndio inakata, ukitoka nje ya maji baada ya muda inatoka tena
Nilienda swimming pool na marafiki zangu, mmoja akaniambia hivyo nikasema nijaribu mzigo haukutoka mpaka muda wa kuondoka