Dada zetu tafadhali hata kama mnapenda Kuogelea, tafadhali msiogelee Baharini mkijijua mpo Mwezini ( Period ) sawa?

Dada zetu tafadhali hata kama mnapenda Kuogelea, tafadhali msiogelee Baharini mkijijua mpo Mwezini ( Period ) sawa?

Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa.

Na wataalam wa Wanyama wanasema kuwa hakuna Viumbe ambao wanajua Kunusa na Kuhisi vile vilivyo mbali au vilivyofichwa kama hawa Wanyama ambao kuna muda tunawaona hawana Akili Kubwa kama zetu lakini kumbe Kiuhalisia kuna Wanyama wengi tu wana Uwezo mkubwa wa mambo kuliko Sisi.

Nilikuwa sijui kwanini Ng'ombe au Mbwa huwa Wakali sana na hata muda mwingine Kuwakimbiza na Kuwabwekea sana Dada zetu kumbe kwa mujibu wa Wanasayansi na Wataalam wa Wayama wanasema kuwa ukiona wanafanya hivyo kwa Mwanamke aliye karibu nawe basi jua huyo Mwanamke anakuwa Hedhini.
Mostly dolphin are registered as sex offenders
 
Nafikiri kwa mwanamke anayejitambua hawezi kuogelea hata kwenye Swimming pool kwani yale maji mara kadhaaa mtu anaweza kuyameza katika harakati za kuogelea hasa wale waogeleaji ambao sio mahiri hivyo hata kwa usafi haija kaa sawa sawa
 
Ukiwa ndani ya maji ndio inakata, ukitoka nje ya maji baada ya muda inatoka tena

Nilienda swimming pool na marafiki zangu, mmoja akaniambia hivyo nikasema nijaribu mzigo haukutoka mpaka muda wa kuondoka
Pressure in liquid ni tofauti na atmospheric pressure!

Ukiwa kwenye maji pressure ya maji ni kubwa kuliko yako hivyo Milango izibe Ili ku maintain pressure ya mwili wako!

Ukiwa nje ya maji pressure ya hewani ni ndogo kuliko ya kwako ilibidi damu iendelee kutoka ku maintain pressure yako!!!

Nadhani
 
Sijui physics lakini naona kama umepatia
 
Back
Top Bottom