ukwelimtupu2025
Member
- May 29, 2025
- 35
- 54
Imekuaje Tena dada zetu sikuizi wanatuomba hela bila hata kushughulika nao.
Hii mbinu naona ni mpya halfu ya kishamba sana mwanamke anataka umtimizie mahitaji yake yote ya msingi ilhali ukiomba show haupati.
Imekaaje hii wadau