Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Kaka Mimi nimemaliza wanaendelea kushupaza wao waache Tu, Mimi sidaiwiUmeifunga mada mkuu.
Yeyote atakaye shupaza fuvu lake kubishana na wewe nitam'ignore.
Kaka Mimi nimemaliza wanaendelea kushupaza wao waache Tu, Mimi sidaiwiUmeifunga mada mkuu.
Yeyote atakaye shupaza fuvu lake kubishana na wewe nitam'ignore.
Mkuu umesema Wana machaguo harafu unasema sio wachoyo? Mbona inajichanganya?Ukiona mwanamke anakukwepa kwepa kukupa show, Ujue kuna angle zako hazipo sawa.
Either Uchumi, Usafi, Ushamba au una fata pisi zisizo hadhi yako.
Otherwise, Mademu wa bongo sio wachoyo.
🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️Hivi unawezaje kutoa posho/hela na haupata mzigo huo ujasiri unautoa wapi mkuu
Mkuu umesema Wana machaguo harafu unasema sio wachoyo? Mbona inajichanganya?
Hivi unawezaje kutoa posho/hela na haupata mzigo huo ujasiri unautoa wapi mkuu