Dada zetu vipi mbona mnataka kuhudumiwa tu shughuli hamtaki kutoa au ndo mbinu yenu mpya

Dada zetu vipi mbona mnataka kuhudumiwa tu shughuli hamtaki kutoa au ndo mbinu yenu mpya

Imekuaje Tena dada zetu sikuizi wanatuomba hela bila hata kushughulika nao.

Hii mbinu naona ni mpya halfu ya kishamba sana mwanamke anataka umtimizie mahitaji yake yote ya msingi ilhali ukiomba show haupati.

Imekaaje hii wadau
Achana nae mjinga huyo akili yake inamtuma vibaya wapo sana hao hata mimi niliwahi kukutana nao
 
Ukiwa mwema kwa mwanamke anakuona boya. Pesa itumike kuwekeza na biashara, wakawachune maboya.
 
Wengi wao wanajua wakitoa mapema, huduma huto toa tena. Kwa hiyo wanakuwekea mazingira utoe sana, wakisharizika ndio wanakupa mzigo.
 
Wengi wao wanajua wakitoa mapema, huduma huto toa tena. Kwa hiyo wanakuwekea mazingira utoe sana, wakisharizika ndio wanakupa mzigo.
Harafu wanakuwaga wabovu kinoma UTI kama zote miharufu kama yote! Waende huko kwanza ngoja tusubiri form four wamalize shule tuvute vyuma vipyaaaaa
 
Harafu wanakuwaga wabovu kinoma UTI kama zote miharufu kama yote! Waende huko kwanza ngoja tusubiri form four wamalize shule tuvute vyuma vipyaaaaa
Wale ni wazoefu na wanakuwa wameshajua, mwanaume akionja anakimbia majukumu.
Kama una nia naye, unatakiwa uende nae taratibu, unamtumia visalio vidogo vidogo ili kumuaminisha hutomuacha, baada ya siku utajichapia mpaka uchoke.​
 
kuhudumia tu mnalia lia familia mtweza kutunza kweli😹
Mfano tupo talking stage, nimekutongoza ila hujanikubalia bado umeniambia nikupe mda unifikirie, kwanini nikupe hela? Nikikupa hela halafu baadae ukanikataa, hio hasara ya muda na pesa nai-cover vipi?

Kingine wanaume wengi tumegundua kuwa nyie wadada wanaume mnaowapenda kwenye talking stage hamuwaombi hela, wakiwatongoza tu mta-play hard kidogo ya kuzuga baada ya wiki 2 mnawapelekea kipochi manyoya gheto na mnatumia nauli yenu kwenda.

Hivyo wanaume wengi siku mitandao imewajanjarusha, kwenye talking stage wakiombwa tu hela kidogo ya vocha, wanakimbia na urafiki unaisha, sababu wanajua mmh hapa sipendwi Mallerina
 
Hivi vitoto below 26 ndiyo michezo yake!
 
Najiulizagq ivi wanaokulaga hela zenu wapo humu?

Wewe kutoa pesa yako ni maamuzi yako umependq mwenyewe sio lazmq ni mapenz yako kaka unaweza ukataa na hakuna sheria itakayo kufunga
 
Tatizo unawachukulia km dada zako mwanamke anaekuvulia nguo na kukupa uchi umtombe ukianza kumuangalia km dada yako hautokuja umtombe kamwe zaidi zaidi utaishia kutapeliwa tu na kuibiwa, usimuangalie km dada yako muangalie kwa kutumia angle nyingine na kuna namna ya kumuandalia mazingira ya kumtomba kumahaiombwa kumainatombwa muite ghetto mbananishe minyaminya chuchu mchezee sehemu nyeti uone km hajaachia mzigo
Mpaka awe amekuja sasa!

Unatuma na ya kutolea halafu 'zuchu' haji, ndicho mtoa mada anamaanisha.
 
Ukiona mwanamke anakukwepa kwepa kukupa show, Ujue kuna angle zako hazipo sawa.

Either Uchumi, Usafi, Ushamba au una fata pisi zisizo hadhi yako.

Otherwise, Mademu wa bongo sio wachoyo.
 
Back
Top Bottom