ukwelimtupu2025
Member
- May 29, 2025
- 35
- 54
Hakupendi na anakudharau, jiongeze ana watu wake anawapa na hawamuombi yeye ndiye anawafata hata nauli hawamtumiiImekuaje Tena dada zetu sikuizi wanatuomba hela bila hata kushughulika nao.
Hii mbinu naona ni mpya halfu ya kishamba sana mwanamke anataka umtimizie mahitaji yake yote ya msingi ilhali ukiomba show haupati.
Imekaaje hii wadau
Wako wengi sana aisee kama watatu hivi
Tsh ngapi tuwalipie.....bro nyoookaWako wengi sana aisee kama watatu hivi
******* sana yaani wamekuwa kama qendawazimu mimi nawaomba uchi live utasikia mapema ila hela kuomba haina mapemaKuna mmoja huyo aliomba kitita na ukiangalia hatuna siku mbili na bado hajanikubalia, simu zaidi ya tano awee mi sio mwema piga chini
Hawana aibu kaka******* sana yaani wamekuwa kama qendawazimu mimi nawaomba uchi live utasikia mapema ila hela kuomba haina mapema
Kuhudumia ni wajibu wako mkuuImekuaje Tena dada zetu sikuizi wanatuomba hela bila hata kushughulika nao.
Hii mbinu naona ni mpya halfu ya kishamba sana mwanamke anataka umtimizie mahitaji yake yote ya msingi ilhali ukiomba show haupati.
Imekaaje hii wadau
🤣🤣🤣 afutatu tu.
Wewe itakuwa unatapeliwa na wanaume wenzanko Faceboo wenye account za kike na picha za Warembo, utaendelea kupigwa pesa mpaka akili ikukae sawa na hivi kwenye simu kuna voice magic dume linaweza kuseti sauti ya kike.Imekuaje Tena dada zetu sikuizi wanatuomba hela bila hata kushughulika nao.
Hii mbinu naona ni mpya halfu ya kishamba sana mwanamke anataka umtimizie mahitaji yake yote ya msingi ilhali ukiomba show haupati.
Imekaaje hii wadau
Kaka ntake radhi nina mkeWewe itakuwa unatapeliwa na wanaume wenzanko Faceboo wenye account za kike na picha za Warembo, utaendelea kupigwa pesa mpaka akili ikukae sawa na hivi kwenye simu kuna voice magic dume linaweza kuseti sauti ya kike.
Wanawake hawana complication yoyote kama unataka kitu kwa kumaanisha, tena siku hizi wanaume ndio wanawakimbia wanawake wakiwa hawana mzigo.