Dada zetu wanatamani kuzaa. Wanaume wenzangu mnasubiri nini?

Hebu nipitishie namba zao kwa dm tasavali
 
Msioe ila mkiumwa umri ukienda usumbufu hatutaki wa kuwauguza maana ujana unatudanganya sana ila hatufikirii miaka 20 ijayo tutakuwa wapi, na agya itakuwa imara? Na pesa je zitakuwepo?
Usipo oa automatically unakuwa na pesa nyingi....its just simple arithmetics. Feeding one mouth is cheaper than feeding ten mouths!
 
Usipo oa automatically unakuwa na pesa nyingi....its just simple arithmetics. Feeding one mouth is cheaper than feeding ten mouths!
Hapa napinga. [emoji23][emoji23][emoji23] Tena napinga sana tu. Kazi ya pesa ni kuendeleza maisha, sasa kama pesa zipo nyingi sikwasababu ya matumizi ya kimaendeleo ya maisha bali kwasababu ya kutofanya matumizi ya msingi, basi jua huna pesa nyingi bali umeweka pesa zikafika nyingi bali huna pesa nyingi. Hizo nyingi zinashindwa kuwalisha watu wawili basi hiyo siyo standard life bali basic life tu.
 
Toa tangazo wengi wamefanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…