Dada zetu wanatamani kuzaa. Wanaume wenzangu mnasubiri nini?

Dada zetu wanatamani kuzaa. Wanaume wenzangu mnasubiri nini?

Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya.

Ukiangalia sababu kubwa ya vijana kutokuoa ni kudai kuwa wasichana wanataka kuhongwa na hamna pesa.

Ngoja ni wambie kitu vijana wenzangu, sio wasichana wote Tanzania na duaniani wanataka kuhongwa, wapo wasichana na wanawake wengi sana wanatamani kuondoka majumbani kwao na kwenda kuishi na wanaume kwa lengo la kuanzisha maisha yao.
Hebu nipitishie namba zao kwa dm tasavali
 
Msioe ila mkiumwa umri ukienda usumbufu hatutaki wa kuwauguza maana ujana unatudanganya sana ila hatufikirii miaka 20 ijayo tutakuwa wapi, na agya itakuwa imara? Na pesa je zitakuwepo?
Usipo oa automatically unakuwa na pesa nyingi....its just simple arithmetics. Feeding one mouth is cheaper than feeding ten mouths!
 
Usipo oa automatically unakuwa na pesa nyingi....its just simple arithmetics. Feeding one mouth is cheaper than feeding ten mouths!
Hapa napinga. [emoji23][emoji23][emoji23] Tena napinga sana tu. Kazi ya pesa ni kuendeleza maisha, sasa kama pesa zipo nyingi sikwasababu ya matumizi ya kimaendeleo ya maisha bali kwasababu ya kutofanya matumizi ya msingi, basi jua huna pesa nyingi bali umeweka pesa zikafika nyingi bali huna pesa nyingi. Hizo nyingi zinashindwa kuwalisha watu wawili basi hiyo siyo standard life bali basic life tu.
 
Shida wanawake ukimleta badala ya kuleta furaha na kujenga maisha anaharibu maisha na furaha yako kabisa kijana mwenye getoo lakoo. kama sio kukufilisi.

basi atakupasua kichwa mpaka upige mtu risasi kama sio kumchoma na gunia la mkaa.

Papuchii tu atakupaa mwanzoni ila zitaanza demands za ajabu ajabu demand ya kwanza kabisa itakuwa demand ya harusi kama ya nandy na mc garab awepo..

Demand ya pili, ya 3, ya 4, mwanaume unajuta kwa nini umeweka mzigo ndani
Toa tangazo wengi wamefanikiwa
 
Back
Top Bottom