Dada zetu wengi wanapambana kuolewa na wazungu tu

Waambie wakamue mafuta yote alafu waje huku chuga kwa wadudu kuna wazungu wengi mpaka weusi. Ila wakae kwa pin lasi hivyo tutawachora tatoo ya beto

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sasa itakuaje maana wazungu wenyewe wanapenda wenye mionekanoo kazikazi yaani kwa ufupi wazungu wanapenda rejects. Hawapendi sly queens. Sly queens wapambane tu na sisi mibwana ya bongo wakazanie kuturoga.
 
Hapa mtaani kwangu napoishi Kuna jirani kajenga nyumba imekwama kwenye box Bado hajaipauwa Kwa miaka miwili Sasa. Juzi mwenye nyumba kamtuma mke wake kuwaonyesha nyumba hii dada mmoja mwenye mtoto wa kizungu akiambatana na zee la kizunguu wanataka kununua hii nyumba. Yaonekana Hawa jamaa siyo bahili kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe wazungu ndio habari ya mjini eeeh
😃😃Hivi jf kuna wazungu kweli??
 
Leo imekuaje mnasema tunawasingizia? Tushahamia kwa wazungu sasa msitutishe
mmechelewa, marasi kitambo tu wameanza kuwadenga vibibi vya kizungu.. ila no sweti😂, nasi tutahamia kwa mabinti wa xi jinping ama mfalme salman
 
Wazungu vijana hawana hela halaf miyeyusho kishenzi na wana mambo mengi. wengi si waoaji ndo mana wadada wanaishia kwa vibabu, [emoji23][emoji23][emoji23] Halaf mechi wanauza kwa vijana wenzao wa kiafrika
 

Wewe na yeye wote mna matatizo... Nafikiri wewe zaidi maana umeenda katikati ya Kina Mama umekuwa Mbea sawa na kina Mama hao, yani hujaonekana tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…