Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

Rudi nyuma kidogo kwenye historia ya wazazi wenu.

Je walioana? Kama ndio angalia maza aliishije na faza? Kama maza ndio mwenye kauli ya mwisho kimaamuzi basi itachukua muda sana kwa dada ako kupata boya wa kumuoa.

Mabinti wengi huishi muda mwingi wa usichana wao wakipata attention nyingi mnooo kutoka kwa wanaume.

Unakuta binti akitoka nyumbani kwenda dukani tu, ameshatongozwa hata mara mbili, miluzi nayo Kama yoote(na kipindi hiki cha sosha network ndio imekua balaa, mara insta, mara fb huko Kote ni mitongozo na hai za kutosha)

kama kuna demu umezoeana nae au hata mpenzi wako mwambie akuonyeshe inbox zake fb(hasa kama ni mtu wa kujipost post), asee unaeza pagawa, mie kuna demu alinipa nikakuta inbox yake ina meseji 300+(hizo ni zile ambazo hajazifungua)imagine wewe mwanaume uwe na inbox hata 200 za mademu tafauti tofauti utajiskiaje? Hawa mademu wanapata attention sana tena sana.

Hebu sasa imagine hizo inbox zoote azitumie meseji ya kuomba hela ya bando, wangapi wanaeza kutuma? Halafu unakuja bwana juma na kikazi chako cha mshahara wa 150k unamwambia nataka nikuoe, atakuelewa kweli?

Kwa bahati mbaya sana dada zetu wanapokutana na hali hizi hujisahau, hata wakitongozwa na wanaume siriaz wasio na vipato vinavyoeleweka huwakataa wakiamini kesho watatongozwa na wanaume bora/sahihi

Hapa ndio dada zetu huwa wanachemka coz muda wa wao kupewa attention huwa ni mfupi sana baada ya hapo kunakua na kizazi kipya na wao wanaanza kutolewa kwenye game kidogo kidogo, kuja kustuka, hakuna mwanaume wa maana maishani, inabidi ajirahisi >>> singo maza.

Men age like fine wines, bitchez ages like milk.

Kwa mwanaume huu mfumo ni vice versa coz mwanaume anapofikia 30,40 ndio anakua amejipata pata kidogo wengine wanakua wameshatoboa kabisa, sasa jiulize mwanaume kama huyu atakuja kwa dada ako?
 
Dada yako ataolewa tu.

Ila familia mnapaswa mumuongeze value dada yenu.

Kama hana kazi nzuri, Mfungulieni biashara nzuri dada yenu . Hapo ataolewa fasta. Wanaume wa siku hizi wanaoa wadada mambo safi.

Jumamosi ya Kesho tu kuna harusi kubwa ya vijana wafanya biashara kariakoo, kijana mmiliki wa duka kubwa kariakoo linaloitwa dar suit anamuoa binti mmiliki wa duka kubwa kariakoo linaloitwa home of style. Vijana hao wamekutana kariakoo na kujuana zaidi kwenye ndege wakienda china wakifata mizigo ya maduka yao.

Hizo ndio ndoa za siku hizi
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Njoo PM mkuu niko single hapa unitumie namba
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Nipe mimi,naomba picha.
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Hicho kichwa cha habari yako unamaanisha atazalishwa na watu wa nyumbani kwenu, kama kaka, mjomba, baba?

Au ushaanza kula dadako?
 
Wakati anabalehe mlikua mnambana,mnamsakama na kumuita malaya. Katulia umri umeenda mmeamza kujishtukia aiseee

Lakini miaka 26 naona badobado mkuu, labda angegonga thirty plus walau kidogo.
 
Kwa sasa haya mambo haya guarantee...kuweni wavumilivu, aendelee kujitunza. Mengine muachie Mungu
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Kwani lazima aolewe?
Enzi hizi za wana Bodaboda tupu hakuna muoaji.
Kama anataka mtoto mchangieni aende Muhimbili akanunue mimba wewe utakuwa baba wa mtoto..
 
Waafrika wengi bado tuna akili ndogo sana. Kuoa au kuolewa hakuna umri maalum. Vipi kama anajiona hayuko tayari kwa ndoa? Kuna watu ni introvert wanahitaji muda wa kutosha kukaa kwenye mahusiano achilia mbali suala la ndoa. Uchumi wake je? Mmemwezasha vya kutosha ?
 
Back
Top Bottom