njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Kumeharabika siku hizi nyie acheni mnaweza kusema ooh hana bahati oooh atazalia nyumbani kumbe mtu kwenye mapochi pochi yake ana madude ya kuwapelekea moto wenzake,.. nilishawahi kuwa na kabinti kamoja kazuri balaa miaka 25 hivi nikawa nala tunda ,
Lahaulaaa siku moja niliomba simu yake niangalie mishe flani eeenh kuwasha dat
Zikaanza kuingia sms ya magroup yake ya kusaga nafaka nilichoka ,kwenye hilo group wanachoambiana ni kukataa kuolewa tu wakazane wenyewe wakidai wanaume stress tu.
Sasa muangalie kwa kina haya mambo