njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
samahani mleta mada wewe ni kabila ganiNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Point ndio hii sasa. Lazima mwanamke aolewe na mwanaume aoe zaidi ya hapo ni kuchafua jina la familia na kuendekeza uzinziKiukweli haipendezi kumuona dada au binti anapuyanga na kila mwanaume. Mara unaona dada au binti ni mjamzito lkn hajawahi kuolewa. Inatia kinyaa, inatia doa na I atia laana kwenye familia au ukoo.
Kuolewa ni heshima kwa mila za kiafrika.
Hili nalo wakalitazame maana hawa wanawake wa siku hizi wee kidume wanakupa tunda huku pia anawapelekea moto wanawake wenzieKumeharabika siku hizi nyie acheni mnaweza kusema ooh hana bahati oooh atazalia nyumbani kumbe mtu kwenye mapochi pochi yake ana madude ya kuwapelekea moto wenzake,.. nilishawahi kuwa na kabinti kamoja kazuri balaa miaka 25 hivi nikawa nala tunda ,
Lahaulaaa siku moja niliomba simu yake niangalie mishe flani eeenh kuwasha dat
Zikaanza kuingia sms ya magroup yake ya kusaga nafaka nilichoka ,kwenye hilo group wanachoambiana ni kukataa kuolewa tu wakazane wenyewe wakidai wanaume stress tu.
Sasa muangalie kwa kina haya mambo
Hujasoma Cuba wewe.Hicho kichwa cha habari yako unamaanisha atazalishwa na watu wa nyumbani kwenu, kama kaka, mjomba, baba?
Au ushaanza kula dadako?
😂 kuolewa na karaniDada yako amejiandaaje na Zoezi la Uchaguzi wa serikali za mitaa ?
Usihangaike mwambie aniinbox ushapata shemejiNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Wanaume tushakubaliana hakuna kuoa, ni kuzalisha tu.....tena tunazalisha wanawake tofauti tofauti.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Nje ya mada.Kwamba ni lazima Dada zenu waolewe?
26 bado mdogo,acheni kumpa stress,Dada zake wana zaidi ya 35 na bado hawajaolewaNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
unaona dada au binti ni mjamzito lkn hajawahi kuolewa. Inatia kinyaa