Hatutaki dada yetu ageuke kuwa kahaba, awe anachezewa na kila mwanaume hapa mjini. Ni aibu kwa familiaInaonekana nyie ndio mna presha zaidi kuliko mhusika. Na nyie ndionasababisha watu wafanye maamuzi ya ajabu ajabu. Kuolewa mtu ndio hadi unaandika jf? Tena 26 yrs,π¬π¬π¬
Of course, hatutaki shemeji ambaye kwao wamepanga ama wanategekea bodaboda kuishi.Pengine atakuwa anachagua sana hataki kuolewa na malofa
Hapo kwenye kula bata hapo ndipo familia hatupataki. Ale bata, means atembeze kipapa??!!muache dada yako a_enjoy bado ana mi4 ya kula bata.
Bila picha hatutakuelewa weka picha ya dada ako tukushauriNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Akiwa approachable sana atadakwa na wahuniawe MTU ambaye ni approachable
Kabisa Mimi mwenyewe nashangaa sana mwanamke kusema ndoa Haina faida kwao miaka hii na wakati sheria na mfumo mzima wa kijamii una wa favor wao...Mwanamke "kataa ndoa" huwa ni kituko kwenye jamii
Kwani wanawake wa Tabora Wana shidoo..Mkuu Kama unania kweli njoo pm nitamuoa Ila asuwe na Tania za kiswahili alafu usije
1 asiwe wa Kanda ya Kati or pwani kusini na nyanda za juu kusini akiwa (muhehe) ananifaa
Tabora kagera hapana?walio baki njoo pm bwashee
Nipatie number zake.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mlengeshe kwangu nimuoe mkuu. Kwanini unapata taabu ya kulengesha wakati muoaji niko hapa?Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Nashangaa agemate ana changanyikiwa na ndoa, wakati ndo kwanza kuna kucha. Na ukiona hivo ujue maisha tu yanamchanganya anatafuta wa kumfuta machoziMiaka 26 means kazaliwa 98 mbona mdogo sana au hajasoma mpka degree......me ni 28 halafu siwazi kuhusu ndoa.
Huu umri bado. Ingawa wapo wa 22 wanatamani kuolewa kkt umri huu. Mwanamke akifika 29 kuelekea 30 hofu huwa juu zaidi.Nashangaa agemate ana changanyikiwa na ndoa, wakati ndo kwanza kuna kucha. Na ukiona hivo ujue maisha tu yanamchanganya anatafuta wa kumfuta machozi
Yuko wapi?Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Vichaa nyie, miaka 26 tu? Mbona bado ana muda huyo? Mtakuwa mna shida ya afya ya akili.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Hatutaki wadangaji kwenye ukoo wetu. Miaka 26 unasema mdogo??Vichaa nyie, miaka 26 tu? Mbona bado ana muda huyo? Mtakuwa mna shida ya afya ya akili.